Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Byter beast jina lake halisi ni Rashid tulikuwa tunamuita chid pengo huyu ndo ameingiza ile sauti ya " minyama tu akitingisha minyama tu" kwenye nyimbo ya chibonge
Asha now mnamuita kidoa huyu manzi alikuwa anazurura sana skuli kazurura sana pale Turiani secondary pale magomeni kalikuwa kanashinda ubalozini
 
mjerumani nilimpokea akiwa mpoole ila hata alivokuja kupinda nilishangaa sana yani shati jeupe la shule limekua kama jezi ya yanga kabisa [emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Shati la namna hiyo tuliliita Dona kipindi hicho shuleni kwetu na lile jeupe lilifahamika kama shati Sembe.
 
Byter beast jina lake halisi ni Rashid tulikuwa tunamuita chid pengo huyu ndo ameingiza ile sauti ya " minyama tu akitingisha minyama tu" kwenye nyimbo ya chibonge
Asha now mnamuita kidoa huyu manzi alikuwa anazurura sana skuli kazurura sana pale Turiani secondary pale magomeni kalikuwa kanashinda ubalozini
Mimi nilijua aliyeimba hapo ni G Nako
 
Mlisoma makongo hampo humu!!!
Tupo Mzee Baba...Duuh Makongo mastaa walikua wengi sana...Kipindi Naaanza form 1 pale mAkongo kwenye korido na Canteen nilikua napishana na hii list hapa
1.Irene Ngowi
2.Amina Chifupa (R.I.P)
3.Mc Babu Ayoub
4.Juma Kaseja
5.Bonifas Pawasa
6.Hasheem Thabit (huyu tulianza wote form 1)
7.Seki
8.Daz Baba

Walikua wengi sana wengine nimewasahau
 
Criss wa Marya, sikusoma nae ila nampata alikuwa anaishi pale 88 Moro,sehem flan wanafyatua tofali za block,jamaa ni mpole kwa sura enzi zile anatamba kwa mazoo records,now sijui yukogo wap
 
Byter beast jina lake halisi ni Rashid tulikuwa tunamuita chid pengo huyu ndo ameingiza ile sauti ya " minyama tu akitingisha minyama tu" kwenye nyimbo ya chibonge
Asha now mnamuita kidoa huyu manzi alikuwa anazurura sana skuli kazurura sana pale Turiani secondary pale magomeni kalikuwa kanashinda ubalozini
Dah jamaa alipiga kipande kitamu sana
 
Nimepiga skuli moja, darasa moja na Director na Producer wa tamthiliya ya HUBA, ni bonge la mshikaji.
 
Patrick siwingwa tumemaliza nae samora Machel mbeya
umemaliza mwaka gan samora machel??

nimemaliza 2011 enzi za mwalimu chisanga mama mmoja ivi alikuwa anakumaind akikukuta unaongea kiswahili shuleni.
 
Haya sasa,leteni na uzi wa kama mlisoma na watu mashuhuri kitaaluma mfano mwanasheria,wahandisi wanasayansi
Madokta wafanyabiaahara wakubwa

Ova
 
Nimesoma shule Moja na director MAJAG

Shule tulikuwa tunamuita hivyo hivyo majagi.

Neno majagi ilitoka na Yale madishi ya Chakula na uji sisi pale tulikuwa tunayaita MAJAG.
 
Back
Top Bottom