cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Haya sasa,leteni na uzi wa kama mlisoma na watu mashuhuri kitaaluma mfano mwanasheria,wahandisi wanasayansi
Madokta wafanyabiaahara wakubwa
Ova
Umeshindwa nini kuanzishwa wewe!!!.. nitag 🤗
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya sasa,leteni na uzi wa kama mlisoma na watu mashuhuri kitaaluma mfano mwanasheria,wahandisi wanasayansi
Madokta wafanyabiaahara wakubwa
Ova
yule mwana alikua kiroho safi sana alishatununulia chai na jolo sana,,Abdul Mohammed alikua GS bora zaidi Azaboy na alikua anatangaza EATV wkt yupo shule akaja kupata deal BBC London...nilimkuta akiwa form 4 wakati naanza form 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekumbuka kitu.Kwanza kabisa Diamond alinichoma na spoke ya baiskeli akilitaka barafu la sh 20 nililokuwa nikilinyonya Kijitonyama Kisiwani pale uwanja wa mpira miaka ya 1997-99 (sikumbuki the exact year). Tulikuwa tuna kawaida ya kucheza mpira tukitoka mazoezi ya uministrant kigangoni kabla ya kujengwa kanisa lililopo sasa. Mashindano ni kati ya watoto tunaotokea upande wa Knyama kuu na wale wanaoishi kuanzia kijitonyama kisiwani mpaka Tandale huko. Padre alikuwa akitokea parokia ya mwananyamala kuja kusalisha kigangoni.
Haha nikaja kukutana nae kwenye event yake 2014-15 pale Mlimani City keshakuwa maarufu, isingekuwa Ruge na mdogo wangu ambaye yuko THT clue yakina Linah, Rachel, Barnabas, Ditto na wengine asingenikumbuka. Tulikumbushana, tukacheka na tumeshayasahau hayo
Pili Nimeisoma na Feruzi wa Daz Nundas Kizuka TPDF Sec. School Moro hiyo, kama atasoma hii post alikuwa anapenda sana kuniita toto tundu maana nilikuwa napenda sana kuimba nyimbo zao. Tatu mtaani kwetu akahamia Mangwear akiwa chini ya jamaa mmoja anaitwa Evans na mdogo wake Nancy Kijitonyama wakiwa wanapigisha simu (ile ya waya TTCL unatoa hela kwa dakika kama sijasahau ilikuwa 250). Hapo ndipo lilipozaliwa kundi la East Zoo
Prof J usimsahau dogo lako uliyekuwa ukimshauri maliza kwanza shule ndio uingie kwenye sanaa maana wewe ndio ulikuwa rol modal wangu mpaka kwenda kwa MI Kamwamba Upanga kurekodi. Nilifuata ushauri wako na namshukuru Mungu now ni mhasibu na ni muajiriwa, mambo ya bongo flavor nilishatupa kule
Kwa leo tuishie hapo...
Dataz umemsahauTupo Mzee Baba...Duuh Makongo mastaa walikua wengi sana...Kipindi Naaanza form 1 pale mAkongo kwenye korido na Canteen nilikua napishana na hii list hapa
1.Irene Ngowi
2.Amina Chifupa (R.I.P)
3.Mc Babu Ayoub
4.Juma Kaseja
5.Bonifas Pawasa
6.Hasheem Thabit (huyu tulianza wote form 1)
7.Seki
8.Daz Baba
Walikua wengi sana wengine nimewasahau
Sasa dogo hongera gani hapo zaidi ya kumbukumbu tu kuwa in one way or another We intermingled way back.Hongereni sana kwa kusoma na wasanii
Sawa mkuuSasa dogo hongera gani hapo zaidi ya kumbukumbu tu kuwa in one way or another We intermingled way back.
Ndio kakakimbilia kwenye sanaa. Kamshukuru sana Kanumba kukaingiza huko baada ya kukalamba mzigo alafu akajimilikisha. Ila wasanii wa bongo bhana dah🤣🙌Elizabeth Michael, Lulu. Tulisoma naye Perfect Vision pale ubungo. Kwa kweli kwenye ukicheche demu alianza kitambo. Kuna wakati alizua skendo ya kutembea na mkurugenzi wa shule, Mwalimu Kadeghe huyu huyu mnayemfahamu. Naona walimu wakashindwa namna ya kumfukuza. Hakakumaliza form four pale....
Lulu kaanza kuigiza akiwa ana miaka 8, alipelekwa Kaole na Dr. Cheni, huyo mbakaji Kanumba kamjua Lulu tangu hajaota maziwa na hatujui alianza kumbaka lini,Ndio kakakimbilia kwenye sanaa. Kamshukuru sana Kanumba kukaingiza huko baada ya kukalamba mzigo alafu akajimilikisha. Ila wasanii wa bongo bhana dah[emoji1787][emoji119]
Oh kumbe, ndio nakumbuka baadhi ya michezo ya akina Dr. Cheni, JB na Rich Mtambalike walikuwa wanakitumia Lulu kikiwa kidogo. Thanks for reminding meLulu kaanza kuigiza akiwa ana miaka 8, alipelekwa Kaole na Dr. Cheni, huyo mbakaji Kanumba kamjua Lulu tangu hajaota maziwa na hatujui alianza kumbaka lini,
Huko shule tayari Lulu alikua maarufu,
'Fame at the young age' ndio ilimponza.
Upo sahihi alikuwa pia mkuu wa shule Ilboru,Principle zake hizo hizo,wewe toka toka tu na school uniformhahaha mkuu inaonekana uliingia kipindi kwayu hayupo maana kwayu alikua hakuzuii kuinhia au kutoka shule muda unaotaka ila anachotaka ufaulu na hapo ndipo wabafunzi wa azania wakawa ni watu wa kujitafutia sana and thats performance ikawa juu ila baada ya kwayu kuondoka overall performance ya school ikaanza kushuka to date, chavila was smart ila alishindwa kuendana na legacy aliyoiacha kwayu ila ngozye ni jau la maaana haha
kuhusu kung'oa haha azania ilikua chata sana nakumbuka siku moja naenda kigamboni wanafunzi wanazuiwa kuingia lakini mimi konda aliniita mwenyewe akisema "wewe dogo wa azania njoo upande"
amsr.
Sent using Jamii Forums mobile app
Du unamfahamu Mzee Mpogole RIP basi hata mwanae Venusta unamjuaHuyu dogo sio maarufu ila anajua sana.Sijui anakwama wapi?. (Diamond platnumz alishawah kuuliza hili swal)
IBRANATION
Huyu dogo nilimuacha darasa la 5 pale Ilala primary school Iringa.Enz hizo mkwawa high scul bado hakijawa chuo.Alikua dogo mpple na mtaratibu tu.mama ake alikua ni frnd zake sana na maza.Bro ake anaitwa athuman (last time nakugana nae kitambo kidogo kabla sijaondoka iringa alikuaga Diwani).huyu bro ake athuman alisoma na Bro angu mmoja.Alikua na dada yake anaitwa Zaina huyu alisoma na bro wangu first born.
Mama yake (almaarufu kama mama zaina) nae alishakuaga diwani mtaa wa Kajificheni.
Dingi yao (Mpogole) alikua dereva wa malori