fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Exactly Mkuu, Nancy yupo nazani ushaelewa nilichomaanisha.Hiki ndo kisa Cha kugombana na Evancy aliponikuta Ghetto na mdogo ake Nancy_ CowObama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly Mkuu, Nancy yupo nazani ushaelewa nilichomaanisha.Hiki ndo kisa Cha kugombana na Evancy aliponikuta Ghetto na mdogo ake Nancy_ CowObama
2010 naingia Tandika sec, namkuta Hamisa mobetto yupo form 2 asee yule demu alikua hatulii anapiga misele shule nzima na viswaswadu wenzie.
Siku za dini utamkuta kwa walokole anaimbisha kwaya hadi nilijuaga mlokole kumbe wapi.
Alikiba yupi? Hajasoma UDSM labda useme ulisoma naye chuo cha kufua na kupika
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinde si ndo alikuwaga baunsa ya Aza boy [emoji2][emoji2]
Tuzinde hahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
mwaka gani? sekondari ama msingi? green acres ya arusha?Irene uwoya green acres.. alikuwa sijui hesabu asubuhi ikifika anachukua safari Langu anakopi exercise the.
Kuna siku Mwl kuna siku Mwl alimuambia akaelekeze ubaoni kidogo ajikojolee.
Ya Dar sekodarimwaka gani? sekondari ama msingi? green acres ya arusha?
[emoji16][emoji16][emoji16] huu uzi ushawakuwa wa masihalaDrake nilisoma nae high school kule Toronto
Sema kweli ?
Mkuu mbona muandiko wako kama una kigugumiziIrene uwoya green acres.. alikuwa sijui hesabu asubuhi ikifika anachukua safari Langu anakopi exercise the.
Kuna siku Mwl kuna siku Mwl alimuambia akaelekeze ubaoni kidogo ajikojolee.
Mwaka gani ilikuwa?Irene uwoya green acres.. alikuwa sijui hesabu asubuhi ikifika anachukua safari Langu anakopi exercise the.
Kuna siku Mwl kuna siku Mwl alimuambia akaelekeze ubaoni kidogo ajikojolee.
Tulikuwa na Idriss Sultan pale 832Kj Tuvu Jkt. Kale kajamaa nilikaazimisha jeans yangu siku ya disco la kumaliza
Kwanza kabisa Diamond alinichoma na spoke ya baiskeli akilitaka barafu la sh 20 nililokuwa nikilinyonya kijitonyama kisiwani pale uwanja wa mpira miaka ya 1997-99(sikumbuki the exactly year). Tulikuwa tunakawaida ya kucheza mpira tukitoka mazoezi ya uministrant kigangoni kabla ya kujengwa kanisa lililopo sasa. Mashindano ni kati ya watoto tunaotokea upande wa Knyama kuu na wale wanaoishi kuanzia kijitonyama kisiwani mpaka Tandale huko. Padre alikuwa akitokea parokia ya mwananyamala kuja kusalisha kigangoni.
Haha nikaja kukutana nae kwenye event yake 2014-15 pale Mlimani City keshakuwa maarufu, isingekuwa Ruge na mdogo wangu ambaye yuko THT clue yakina Linah, Rachel, Barnabas, Ditto na wengine asingenikumbuka. Tulikumbushana, tukacheka na tumeshayasahau hayo
Pili Nimeisoma na Feruzi wa Daz Nundas Kizuka TPDF sec. School Moro hiyo, Kama atasoma hii post alikuwa anapenda sana kuniita toto tundu maana nilikuwa napenda Sana kuimba nyimbo zao.
Tatu mtaani kwetu akahamia Mangwear akiwa chini ya jamaa mmoja anaitwa Evans na mdogo wake Nancy Kijitonyama wakiwa wanapigisha simu (ile ya waya TTCL unatoa hela kwa dakika kama sijasahau ilikuwa 250). Hapo ndipo lilipozaliwa kundi la East Zoo
Prof J usimsahau dogo lako uliyekuwa ukimshauri maliza kwanza shule ndio uingie kwenye sanaa maana wewe ndio ulikuwa rol modal wangu mpaka kwenda kwa MI Kamwamba Upanga kurekodi. Nilifuata ushauri wako na namshukuru Mungu now ni mhasibu na ni muajiriwa, mambo ya bongo flavor nilishatupa kule
Kwa leo tuishie hapo...
Vp tipe mawili matatu uliyowahi kuyashuhudia ukiwa nao shuleniProf.J kanizidi darasa moja,Afande Sele nimemzidi Darasa moja.Kigurunyembe Sec Morogoro.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamorapa alikuwa kiranja wa choo