Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tulikuwa na Idriss Sultan pale 832Kj Tuvu Jkt. Kale kajamaa nilikaazimisha jeans yangu siku ya disco la kumaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tulikuwa na Idriss Sultan pale 832Kj Tuvu Jkt. Kale kajamaa nilikaazimisha jeans yangu siku ya disco la kumaliza
Umalaya wameanza bado watoto sanaTunda mimi nime cheza naee akiwa mdogoo huko xxx baba yake alikuwa ana fanya xxx. Yani anapenda kucheka cheka hivyo hivyoo.
Alikiwa na dada yake mmoja D ndo alikuwa mpenzi wangu kipindi cha darasa la nne na la 5.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji11][emoji11]we jamaa uko vzr duhh!nshasahauHiki ndo kisa Cha kugombana na Evancy aliponikuta Ghetto na mdogo ake Nancy_ CowObama
Duhh!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Ni kweli kabisa mkuu. Nancy kisuu balsamic, hata ingekuwa wewe usingesita.
Nakumbuka kwenye kipaimaraa nilikabana kwenye garii nikawa nakakiss kwenye mashavuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Usikonde utafika tuNimesona na ROMA mkatoloki pale USAGARA SEC wakati huo yeye ni basketballer anaetegemewa na shule huku mm ndo mwanamuziki bora zaidi pale.
Nakumbuka alikuwa anakuja kunipa ushauri akiwa na ANTONIO NUGAZ huyu wa Clouds (msemaji wa YANGA)
Jamaa walikuw wananikubali sana japo kuwa walinitangulia kidogo ila walinitambua mchango wangu.
Hata ile ngoma ya Roma (TANZANIA ) tumeplay kwa first time mahome SAHARE SEPOCHO 1
Ila chukushangaza wenzangu wametoboa mimi kibarua changu KUBET
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuhh!!!na we nawe kaplai boi we mdogo hvyo unakiss mweeNakumbuka kwenye kipaimaraa nilikabana kwenye garii nikawa nakakiss kwenye mashavuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema dada yaoo ndo alikuwa kiboko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunda alikuwa anakuja weekend hakai sana na alikuwa white na alikuwa ana sukwa vi rasta basi akija jua mtaa wetu videmu vyote chinii.
Hapa umetulisha tango pori, Idriss alikuwa Jkt Rwamkoma
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tunda alikuwa anakuja weekend hakai sana na alikuwa white na alikuwa ana sukwa vi rasta basi akija jua mtaa wetu videmu vyote chinii.
Na tulikuwa wawili na bike wanaweza kuja kuomba nika banaa ila akija yeye yani sifikirii.
Matukio ni mengii.
Ila dada yake D ndo tulikuwa close sana japo kuna muhunii ali mkunja,kwenye mchicha enzi hizoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo kwa mangwair hebu tueleze life style ya jamaa kipindi hicho ilikuajeKwanza kabisa Diamond alinichoma na spoke ya baiskeli akilitaka barafu la sh 20 nililokuwa nikilinyonya kijitonyama kisiwani pale uwanja wa mpira miaka ya 1997-99(sikumbuki the exactly year). Tulikuwa tunakawaida ya kucheza mpira tukitoka mazoezi ya uministrant kigangoni kabla ya kujengwa kanisa lililopo sasa. Mashindano ni kati ya watoto tunaotokea upande wa Knyama kuu na wale wanaoishi kuanzia kijitonyama kisiwani mpaka Tandale huko. Padre alikuwa akitokea parokia ya mwananyamala kuja kusalisha kigangoni.
Haha nikaja kukutana nae kwenye event yake 2014-15 pale Mlimani City keshakuwa maarufu, isingekuwa Ruge na mdogo wangu ambaye yuko THT clue yakina Linah, Rachel, Barnabas, Ditto na wengine asingenikumbuka. Tulikumbushana, tukacheka na tumeshayasahau hayo
Pili Nimeisoma na Feruzi wa Daz Nundas Kizuka TPDF sec. School Moro hiyo, Kama atasoma hii post alikuwa anapenda sana kuniita toto tundu maana nilikuwa napenda Sana kuimba nyimbo zao.
Tatu mtaani kwetu akahamia Mangwear akiwa chini ya jamaa mmoja anaitwa Evans na mdogo wake Nancy Kijitonyama wakiwa wanapigisha simu (ile ya waya TTCL unatoa hela kwa dakika kama sijasahau ilikuwa 250). Hapo ndipo lilipozaliwa kundi la East Zoo
Prof J usimsahau dogo lako uliyekuwa ukimshauri maliza kwanza shule ndio uingie kwenye sanaa maana wewe ndio ulikuwa rol modal wangu mpaka kwenda kwa MI Kamwamba Upanga kurekodi. Nilifuata ushauri wako na namshukuru Mungu now ni mhasibu na ni muajiriwa, mambo ya bongo flavor nilishatupa kule
Kwa leo tuishie hapo...
Abdul Mohammed alikua GS bora zaidi Azaboy na alikua anatangaza EATV wkt yupo shule akaja kupata deal BBC London...nilimkuta akiwa form 4 wakati naanza form 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi ww uko form 1 mimi nipo kidato cha 6, hapo hapo AzaboiAbdul Mohammed alikua GS bora zaidi Azaboy na alikua anatangaza EATV wkt yupo shule akaja kupata deal BBC London...nilimkuta akiwa form 4 wakati naanza form 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah muda huo wengine tupo chuo, nakumbuka miaka ya 2005-2008 tulicheza mechi kadhaa aisee watu walikua wanatembea kuja kuangalia mechi za nje ya Azaboi,MOSES KITANDU
Huyu ni yule mchezaji wa Simba kama sikosei msimu wa majuzi ndo alikuepo Simba maana kwa sasa simsikii huyu mwmba alikua mwanagu pia kwenye kundi letu..dah nikikumbuka lile kondi wengi wameishia kufeli kwa uhuni na usela uliopitiliza japo Moses yeyehakuwa muhuni kivile.
Azania 2012 timu ya shule iliongozwa na Captein Masud Jabir huyu kwa sasa ni mjeda na ni mwanangu mpaka kesho...huku kuna Abuu Moshi namba 8 hiyo(Mwizi hatari[emoji23][emoji23] kaliza sana watu) ,Ally Anya (alikua kipa huyo ni fala mmoja hivi alijipendekeza sana kwa Ngozye shenzi) ,Benson Kalonzo(R.I.P) Moses Kitandu (striker)...naimisi san Azania
UNAKULA SITAAAAA!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app