fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Haha the guy was real nigga, kipindi hiko ndio ametoka Dodoma yupo na washkaji wanakuja kujazana kwa Evans Kijitonyama. Evans alikuwa na ofisi ya kupigisha simu nyumbani kwa mama Nangwale opposite na ilipo Hotel ya KD (Kassim Dewji) Kijitonyama.Mkuu hapo kwa mangwair hebu tueleze life style ya jamaa kipindi hicho ilikuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo miaka 2000's ndipo harakati za mziki zimekolea free style kwa sana mpaka vijana wakuchipukia (sisi) tukitoka tu mashuleni tunaenda kushinda kijiweni hapo.
Nancy kipindi hiko ndio mrembo kupindukia tunashindwa kumsogelea. Mangwair alikuwa simple sana, hana makuu, bangi kwa sana.
Muda wa kujiandaa kwenda ofisini
Nitamalizia...