MOSES KITANDU
Huyu ni yule mchezaji wa Simba kama sikosei msimu wa majuzi ndo alikuepo Simba maana kwa sasa simsikii huyu mwmba alikua mwanagu pia kwenye kundi letu..dah nikikumbuka lile kondi wengi wameishia kufeli kwa uhuni na usela uliopitiliza japo Moses yeyehakuwa muhuni kivile.
Azania 2012 timu ya shule iliongozwa na Captein Masud Jabir huyu kwa sasa ni mjeda na ni mwanangu mpaka kesho...huku kuna Abuu Moshi namba 8 hiyo(Mwizi hatari[emoji23][emoji23] kaliza sana watu) ,Ally Anya (alikua kipa huyo ni fala mmoja hivi alijipendekeza sana kwa Ngozye shenzi) ,Benson Kalonzo(R.I.P) Moses Kitandu (striker)...naimisi san Azania
UNAKULA SITAAAAA!!!!
Sent using
Jamii Forums mobile app