Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Sisi tulimtunga jina la fremason maana ukimtaja tu huyu hapo kashafika afu ajulikani katokea wapi.. yule mzee alikua anakariri hadi mabegi ***** waliokuwa wanaenda don bosco watakua mashahidi wa hili...kosa lolote jiandae kwa 6 alitutesa sana kwa rokooo zake yule mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sita kwake ilikuwa ni costant K, kabla ha maongezi! Kuna madogo walikuwa wanatorokea docho kule nyuma kwenye bonde la msimbazi! Mzee akawahi kuchukua gari akawazungurukia barabarani! Ile wanaibuka tu pale katika showroom ya magari ile wanakutana nae uso kwa macho!!
 
Marehemu Albert Mangwea*Ngweah*,Bungo primary school,Morogoro,darasa la kwanza hadi la tano,kabla hawajahamia East Zoo,tulikuwa tunamtania kwa kumwita Chogo.Alikuwa mpole sana na akili za wastani darasani.R.I.P
 
Haha the guy was real nigga, kipindi hiko ndio ametoka Dodoma yupo na washkaji wanakuja kujazana kwa Evans Kijitonyama. Evans alikuwa na ofisi ya kupigisha simu nyumbani kwa mama Nangwale opposite na ilipo Hotel ya KD (Kassim Dewji) Kijitonyama.
Hapo miaka 2000's ndipo harakati za mziki zimekolea free style kwa sana mpaka vijana wakuchipukia (sisi) tukitoka tu mashuleni tunaenda kushinda kijiweni hapo.
Nancy kipindi hiko ndio mrembo kupindukia tunashindwa kumsogelea. Mangwair alikuwa simple sana, hana makuu, bangi kwa sana.
Muda wa kujiandaa kwenda ofisini
Nitamalizia...
Mkuu ukipata muda umalizie coz this guy alikua na lifestyle amaizing Sana ...R.I.P cowbama

Sent using Jamii Forums mobile app
See
 
Mbona hutaji maeneo.. Tunda kasoma kilimanjaro adi darasa la nne akahama.. Sasa wewe unakataa lakini husemi amesoma wapi..
Kilimanjaro mimi nimesoma kuanzia darasa la kwanza hadi la 7. Mwalimu wetu wa kingereza anaitwa macha kama sija sahau.

Tunda hakusoma mpaka darasa la nne maana alikuwa anakaa sana naa mama yake ambae alikuwa hakaii na mzee wake hapoo ccp.

Ila navyo kumbuka alisoma,kwa mda mfupi sana hapo kilimanjaroo.

Dorini ndo alikuja kuondoka darasa la 5 na nililia balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KISA CHA ASLAY KUCHEZEA BAKORA

By Sangu J

Mimi nimesoma na Aslay Isihaka pale Tandika Sekondari lkn nilimpita darasa moja Mimi nikiwa form three yeye alikua form 2.

Sasa wakati Ngoma yake ya naenda kusema Kwa Mama inatamba full kupata interview kwenye media kama zote, alienda kwenye Kituo kimoja cha radio nadhani ni Clouds FM sasa alitamba Kwamba siku hizi Shule hachapwi wala Viongozi wa Shule hawampi fagio akafagie.

Basi Jumatatu yake baada ya kufika Shule akakutana na Kiongozi (Kiranja) mmoja alikua anaitwa Theodory Mwingira alisikia Yale mahojiano basi jamaa hiyo siku alichelewq kufika Yule mshkaji akampa adhabu akazoe takataka kwenye eneo lenye nyasi nyingi na afyeke.

Basi Dogo Kwa kuwa ni Star alijifanya anaingilia huku anatokea huku (Kiufupi anamkwepa) basi Yule Dogo akaenda kusema Kwa Mwalimu mmoja alikua anaitwa Likalambile anafundishq Mathematics Hatari na kama mnavyojua Walimu WA mathe wanakuaga wakali sana basi Aslay aliitwa na Yule Ticha alipigwa bakora mpaka aliamua kwenda kuruka ukuta wa Shule Kwa bakora za Yule mwalimu.

Ikawa bonge moja la Stori Shule nzima Aslay kachezea kichapo tena Yule Mwalimu alimpiga akimwambia Nenda kaseme kwa Mama.

Kupata Stori nyingine nicheki Instagram na Facebook sangujoseph

😂 😂 😂
 
Hahahha mimi ilinikuta hiyo nikiwa form two.

Siku hiyo tulikua tunaingia mchana afu mi nilienda asubuhi ilipofika saa 9 nikaona nisepe ile natoka getini nakutana na Luchwaza nikaibana lebo kwenye kwapa akanisimamisha akaniuliza wewe form ngapi nikamwambia form 1 akasema hebu lebo salale kumbe form 2 akanipeleka kwa mganga na ngozye nilichezea sana ile siku.Umaarufu niliupata baada ya kuhusishwa na kesi ya wizi ABUU MOSHI aliniingiza kwenye janga [emoji23][emoji23][emoji23]
Sita kwake ilikuwa ni costant K, kabla ha maongezi! Kuna madogo walikuwa wanatorokea docho kule nyuma kwenye bonde la msimbazi! Mzee akawahi kuchukua gari akawazungurukia barabarani! Ile wanaibuka tu pale katika showroom ya magari ile wanakutana nae uso kwa macho!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule mzee alitumia sana ubabe kuliko akili...wanafunzi tulikua tunamuombea afe makumbuka kauli zake kubwa "Najua kuna watu wananiombea nife ila niwaambie sifi leo wala kesho mpaka mtamaliza shule mtaniacha hapahapa"..."kama hukai darasani utataga tu lazima utage"
Ngozye alifelisha wakamdimoti nyeburu sec baadae akapelekwa Zanaki

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom