Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anastahiki maana pale kuna siku waligombana kisa blu!kakomaa kuipata ndoa!!anatumia jina gani insta!Teh teh teh!!
Ndio hivyo mke wa mtu maarufu sasa
Mitaa yako ya zamani.
Huyo mwamba Mi naanza form one ndo mwaka mmoja nyuma amevuta kwa kipigo baada ya kusingiziwa wizi ila mwamba alikua maarufu sana Kuanzia Kisutu,zanaki,tuliani,benja,jamhuri na shule zote za mjini..school kila sehemu kulijaa machata yake.
Apumzike panapo stahili Mwamba...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] Kipindi kile watu walikua wanapiga boksa na kareti afu ukicheki Azania ni shule inayojali sana michezo....Sasa ungemuona Mjerumani ndo ungecheka zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya insta sielewi account yake.Anastahiki maana pale kuna siku waligombana kisa blu!kakomaa kuipata ndoa!!anatumia jina gani insta!
Yaani enzi zile hakukua tu na mitandao lakini we...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mzee alitumia sana ubabe kuliko akili...wanafunzi tulikua tunamuombea afe makumbuka kauli zake kubwa "Najua kuna watu wananiombea nife ila niwaambie sifi leo wala kesho mpaka mtamaliza shule mtaniacha hapahapa"..."kama hukai darasani utataga tu lazima utage"
Sent using Jamii Forums mobile app
We mzee Columba mwingira yupoNot sure if they count...
Hashim Rubanza....don’t know where he is now.
Nigga [forget the ER] One....died way too young.
James Wamba...don’t know his whereabouts. But we grew up on the same street
Eazy B.....don’t know where he’s at.
As you can see....I’m old school [emoji6].
Kama huijui ‘oyaa msela’ pita pembeni.
Wengine tunaijua Mawingu toka ikiwa Mwenge mitaa ya karibu na kanisa Katoliki la Maxmillian Kolbe...
We mzee Columba mwingira yupo
Umenikumbusha shw zao za sine club Enzi za oya msela oyaaaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise Columba aliendaga states kitambo sanaHivi yuko wapi siku hizi?
Aise Columba aliendaga states kitambo sana
Wale Sasa ndy mawingu show zao nyingi kusaga ndy alikuwa dj wao
Ila sjui huko states nako kmyaa kajichimbia
Alikuwa na talent ya kikapu pia alikuwa anacheza vijana enz hzo
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipata msala hukoNakumbuka OJ alirudishwa bongo...alikuwa anaishi Texas au Ohio..
Ndio! Kasoma hapoSokoine pale karibu na mambuo bar?
Ndio! Alikuwa madarasa mawili mbele yangu..ila alikuwa maarufu kwa kucheza mpira na kuchekesha na alikuwa kiranja pia.. .. Chuo alisoma ushirika sidhani kama alimaliza
Hahaha sura ya fisiNimesoma na harmorappa jamaa alikuwa anasura mbaya shule nzima hamna anayetia mguu tulikuwa tumamuita Hyena
Aisee tuwasiliane inbox Anotino