Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Sisi tuliosoma MAKONGO SECONDARY (TPDF) hasa miaka ya 2000s inabidi tuanzishiwe thread yetu maana orodha ya wasanii na celebrities wengne ikiongozwa na HASHEEM THABEET tulioskonga nao ni ndefu sana
Mbona ipo mkuu
 
Kilimanjaro mimi nimesoma kuanzia darasa la kwanza hadi la 7. Mwalimu wetu wa kingereza anaitwa macha kama sija sahau.

Tunda hakusoma mpaka darasa la nne maana alikuwa anakaa sana naa mama yake ambae alikuwa hakaii na mzee wake hapoo ccp.

Ila navyo kumbuka alisoma,kwa mda mfupi sana hapo kilimanjaroo.

Dorini ndo alikuja kuondoka darasa la 5 na nililia balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni hata aibu kusema ulilia Sana?[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Dullvann bana tumecheza nae mpira sana na play station miaka 3 tu nyuma Play station tulikuwa tunacheza nae na alikuwa mchovu sana full kujipigia though the guy had a sense of humour since back then...Ali Kiba pia tumecheza nae mpira sana though tayari alishaukwaa ustaa kitambo.
Tiny White tumekunywa nae chai sana hapo Baracuda Tabata...
Kina brother Dullysykes tumepoa nao sana kitaa...
Na wanangu wa Tabata gang kina Pappy Sk...Poshy Yd na wengineo tumedance nao sana kitaa leo hii wanakuwa featured kwenye projects kubwa kubwa za wasanii hasa Usafini wamehusika sana.

Naishia hapa.

[emoji23]mkuu, tiny white wakati mnakunywa nae chai kitaa , alikua na ujinga wake hivi hivi ?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wengine tumesona na Kinjekitile Ngwale enzi za vita vya MajiMaji.

Naye anahesabika celebrity.

For real ninesoma na Diplomatz na Y Thang wa Kwanza Unit Tambaza.

Tumefanya sana rap battles enzi hizo.

Siku hizi wengine washakuwa madaktari, wengine ma Ustaadh.

Sent using Jamii Forums mobile app
DPT lilikua kundi unasemaje kua umesoma na DPT utadhani ni alikua rapa mmoja?au ni typing error ulitaka kusema umesoma na member wa DPT?
 
nilijizuia sana nisiandike ila imenibidi

huyu justine mimi nimesoma nae kidato kimoja kwakifupi tunajuana vizuri, last time nakutana tandika napiga nae story kumbe kesho yake ndo anaenda kusingiziwa ni mwizi na anapigwa mpaka anakufa kisa alifata demu mbagala.

experience nliyoipata azania sitaweza isahau kipindi hicho ilikua ukichaguliwa azania ujue wewe ni bright japo ukiwazingua wanafunzi azania ulikua unakula kichapo si cha nchi hii, nakumbuka mpaka watoto wa shule zengine wakawa wanapenda kuja kushinda azania ili nao waonekane ni azania au wanajuana na wanafunzi wa azania.

pale azania kulikua na makundi matata makubwa mawili capafona na kitengo mawe ila kitengo ndo kama ilikua wamasai wa azania baadhi ya members wa kitengo walikua kama vile man tapa, man sifa, msolid, zungu, ashraph, pengo, hassan shida etc huyo man sifa siku moja aliwakazia dar sec akiwa pekeyake anataka kupambana na shule nzima hahaha me hao kitengo wote walikua wanangu maana ndo nlikua nawakatia mapindi kitaa.

fall of azaboy naiona alipopewa uheadmaster ngozye maana before yeye alikuepo mkuu mmoja nimemsahau jina ila alikuja baada ya kwaya the real icon of azaboy.

RIP marehem allumni wa azaboy man tapa(tapa square), mama mchwa, justine, mchwa mwenyewe just to mention few

ya kuandika ni mengi ila kwa mukhtasar ni hayo tu.

amsr.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebhana tapa square ni marehemu???

Ngozye, kazimgua sana yule mzee. Alikuwa teacher tu wa fine art, anapiga mihuri enzi hizo.
Kuna jembe wakina KWAYU, Second Master ticha Mkongo, nilikuwa namkubali sana mkongo. Tuje ktk mada, pale kina ben paul walipitaga pale bishooo flani hivi. Majanja wakina Baghdad etc.

Ila kitengo, waaache waitwe kitengo. Kitengo kuna siku wamewahi kulizua na police, police waka titiririsha wadau wakakimbilia chimbo kule school uwanjani, aka KIMTI ZERO, kuna kokoto za kutosha story ikawa ingine.

Teka sana watoto wa Zanaki, Walikuwa na hostel zao pale school, Jangwani hadi wakaona wazibe geti linalo unganisha Aza na Jangwani.

Kuwa waziri wa ulinzi au kiranja mkuuu. Lazima huwe mbabe au wa figisu nyingiii.

Kuna siku, katk kota za Maticha, washkaji waliingia dirishani usiku, wakaiba Tv, Dvd player, wakapeleka dormitory, wakawa wanaangalia porn, [emoji3].

Shout out kwa wana Zinde boy, ngumi nzito, RIP kwa dogo Justin.
 
hahaha mkuu inaonekana uliingia kipindi kwayu hayupo maana kwayu alikua hakuzuii kuinhia au kutoka shule muda unaotaka ila anachotaka ufaulu na hapo ndipo wabafunzi wa azania wakawa ni watu wa kujitafutia sana and thats performance ikawa juu ila baada ya kwayu kuondoka overall performance ya school ikaanza kushuka to date, chavila was smart ila alishindwa kuendana na legacy aliyoiacha kwayu ila ngozye ni jau la maaana haha

kuhusu kung'oa haha azania ilikua chata sana nakumbuka siku moja naenda kigamboni wanafunzi wanazuiwa kuingia lakini mimi konda aliniita mwenyewe akisema "wewe dogo wa azania njoo upande"

amsr.
Mkuu alikua anaitwa Chavila yule mzee alikua smart sana..Ngozye alikua msaidizi na wakati Chavila anapandishwa cheo na yeye kukaimu nafasi ya Ukuu kabla ya kuwa mkuu kamili aliapa lazima atawanyoosha wahuni wote waliomtesa enzi za usaidizi.

Kitengo mawe usiwasahau na wakina sisimizi.

Azania ilikua sifa nimeng'oa sana watoto wazuri kwa ajili ya shule na mtaani niliheshimika na kuogopeka kitaaluma hivyo ikanifanya nisilaze damu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom