Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Ngozye, kazimgua sana yule mzee. Alikuwa teacher tu wa fine art, anapiga mihuri enzi hizo.
Kuna jembe wakina KWAYU, Second Master ticha Mkongo, nilikuwa namkubali sana mkongo. Tuje ktk mada, pale kina ben paul walipitaga pale bishooo flani hivi. Majanja wakina Baghdad etc.

Ila kitengo, waaache waitwe kitengo. Kitengo kuna siku wamewahi kulizua na police, police waka titiririsha wadau wakakimbilia chimbo kule school uwanjani, aka KIMTI ZERO, kuna kokoto za kutosha story ikawa ingine.

Teka sana watoto wa Zanaki, Walikuwa na hostel zao pale school, Jangwani hadi wakaona wazibe geti linalo unganisha Aza na Jangwani.

Kuwa waziri wa ulinzi au kiranja mkuuu. Lazima huwe mbabe au wa figisu nyingiii.

Kuna siku, katk kota za Maticha, washkaji waliingia dirishani usiku, wakaiba Tv, Dvd player, wakapeleka dormitory, wakawa wanaangalia porn, [emoji3].

Shout out kwa wana Zinde boy, ngumi nzito, RIP kwa dogo Justin.
dah umenikumbusha mbali sana mwanangu ngozye sikuwahi kumdhania kama angekuaja kua mkuu wa shule pale na hata nlipoambiwa nlishangaa sana

majembe ya pale yalikua mengi sana kama kwayu, mkongo, mlokozi, kihanda na wengineo na wao waikua wanajua wanafundisha watu wenye akili so topic moja unaweza ukapigiwa yote siku moja hahahah

kuhusu wabishi wa kitengo wakilizua balaa lao linakua kama shee alolishwa nguruwe

amsr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yah, mara ya mwisho nakutana nae ilikua mwisho wa lami ile njia inayotoka uwanja wa ndege kupitia jet kuelekea buza jamaa alikutwa amekufa kwenye kitanda chake gheto

amsr.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah so sad... alikuwa mwanangu san tapa square! Alikuwa na nyimbo yak moja inaitwa 'sambona' bonge moja la ngoma..RIP kwake daah ndo nmejua leo asee
 
Ngozye, kazimgua sana yule mzee. Alikuwa teacher tu wa fine art, anapiga mihuri enzi hizo.
Kuna jembe wakina KWAYU, Second Master ticha Mkongo, nilikuwa namkubali sana mkongo. Tuje ktk mada, pale kina ben paul walipitaga pale bishooo flani hivi. Majanja wakina Baghdad etc.

Ila kitengo, waaache waitwe kitengo. Kitengo kuna siku wamewahi kulizua na police, police waka titiririsha wadau wakakimbilia chimbo kule school uwanjani, aka KIMTI ZERO, kuna kokoto za kutosha story ikawa ingine.

Teka sana watoto wa Zanaki, Walikuwa na hostel zao pale school, Jangwani hadi wakaona wazibe geti linalo unganisha Aza na Jangwani.

Kuwa waziri wa ulinzi au kiranja mkuuu. Lazima huwe mbabe au wa figisu nyingiii.

Kuna siku, katk kota za Maticha, washkaji waliingia dirishani usiku, wakaiba Tv, Dvd player, wakapeleka dormitory, wakawa wanaangalia porn, [emoji3].

Shout out kwa wana Zinde boy, ngumi nzito, RIP kwa dogo Justin.
Kipindi Cha kina Romano mwanyesya
 
[emoji23]mkuu, tiny white wakati mnakunywa nae chai kitaa , alikua na ujinga wake hivi hivi ?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Jamaa n mcheshi sana kiasili, yaan katika kila kitu anaongea kuna ladha ya utani na ucheshi, in short he is kind of guy you wanna hang arround with all the time.Hakunji na yuko peace kinyama.
 
2005 na Maunda Zoro ingawa mwaka 2003 aliikwa scandal ya kumsaga mwenzie na test tube mpaka ikanasia huko ikawa shida kuitoa..

Though walisaidiwa na daktari wa shule wakafanikiwa na shule walitaka kuizima hiyo issue isiende kwenye media.

Alikuwa msanii wetu wa shule tangu enzi hizo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Shule ni Dar es salaam Christian seminary maarufu kama Vosa ipo Kongowe
 
nilijizuia sana nisiandike ila imenibidi

huyu justine mimi nimesoma nae kidato kimoja kwakifupi tunajuana vizuri, last time nakutana tandika napiga nae story kumbe kesho yake ndo anaenda kusingiziwa ni mwizi na anapigwa mpaka anakufa kisa alifata demu mbagala.

experience nliyoipata azania sitaweza isahau kipindi hicho ilikua ukichaguliwa azania ujue wewe ni bright japo ukiwazingua wanafunzi azania ulikua unakula kichapo si cha nchi hii, nakumbuka mpaka watoto wa shule zengine wakawa wanapenda kuja kushinda azania ili nao waonekane ni azania au wanajuana na wanafunzi wa azania.

pale azania kulikua na makundi matata makubwa mawili capafona na kitengo mawe ila kitengo ndo kama ilikua wamasai wa azania baadhi ya members wa kitengo walikua kama vile man tapa, man sifa, msolid, zungu, ashraph, pengo, hassan shida etc huyo man sifa siku moja aliwakazia dar sec akiwa pekeyake anataka kupambana na shule nzima hahaha me hao kitengo wote walikua wanangu maana ndo nlikua nawakatia mapindi kitaa.

fall of azaboy naiona alipopewa uheadmaster ngozye maana before yeye alikuepo mkuu mmoja nimemsahau jina ila alikuja baada ya kwaya the real icon of azaboy.

RIP marehem allumni wa azaboy man tapa(tapa square), mama mchwa, justine, mchwa mwenyewe just to mention few

ya kuandika ni mengi ila kwa mukhtasar ni hayo tu.

amsr.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo alouliwa Mbagala ndiyo yule alokuja kwenye birthday ta demu akamkuta na mchizi mwingine? Au yule demu alohama kutoka kitaa chao na kuja Mbagala, ndiyo akamfuata kuja kumwona na alomwitia mwizi ni mlinzi
 
nilijizuia sana nisiandike ila imenibidi

huyu justine mimi nimesoma nae kidato kimoja kwakifupi tunajuana vizuri, last time nakutana tandika napiga nae story kumbe kesho yake ndo anaenda kusingiziwa ni mwizi na anapigwa mpaka anakufa kisa alifata demu mbagala.

experience nliyoipata azania sitaweza isahau kipindi hicho ilikua ukichaguliwa azania ujue wewe ni bright japo ukiwazingua wanafunzi azania ulikua unakula kichapo si cha nchi hii, nakumbuka mpaka watoto wa shule zengine wakawa wanapenda kuja kushinda azania ili nao waonekane ni azania au wanajuana na wanafunzi wa azania.

pale azania kulikua na makundi matata makubwa mawili capafona na kitengo mawe ila kitengo ndo kama ilikua wamasai wa azania baadhi ya members wa kitengo walikua kama vile man tapa, man sifa, msolid, zungu, ashraph, pengo, hassan shida etc huyo man sifa siku moja aliwakazia dar sec akiwa pekeyake anataka kupambana na shule nzima hahaha me hao kitengo wote walikua wanangu maana ndo nlikua nawakatia mapindi kitaa.

fall of azaboy naiona alipopewa uheadmaster ngozye maana before yeye alikuepo mkuu mmoja nimemsahau jina ila alikuja baada ya kwaya the real icon of azaboy.

RIP marehem allumni wa azaboy man tapa(tapa square), mama mchwa, justine, mchwa mwenyewe just to mention few

ya kuandika ni mengi ila kwa mukhtasar ni hayo tu.

amsr.

Sent using Jamii Forums mobile app
Same here nlipokua primary ndoto yng ilkua kusoma Azaboi thnx GOD aljbu nkaingia uboizin kpnd ambacho benard ngozye ndo H/M jamaa ni miyeyusho knoma akiwa na mwenzie boy na mlokoz...Azaboi haikua ile tena

Azaboi ikawa km seminary kulkua hakuna zile hamsha hamsha tena, ilfka point hata ukienda don bosco bonge la kesi kwa tuliokua hostel ndo ungese mtupu yaan

makundi ya wahun hayakuwpo full malokoo ya kise n ge se nge

i used to love ths slogan “solidarity forever”[emoji123]

地那天刚才妇产科☆
 
VOSA hii if am not mistaken mana me nilikua nasoma st pius ya juu pale
2005 na Maunda Zoro ingawa mwaka 2003 aliikwa scandal ya kumsaga mwenzie na test tube mpaka ikanasia huko ikawa shida kuitoa..

Though walisaidiwa na daktari wa shule wakafanikiwa na shule walitaka kuizima hiyo issue isiende kwenye media.

Alikuwa msanii wetu wa shule tangu enzi hizo..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ilikua raha sana Tisheti mpaka leo ninayo zile za nembo kubwa kuanzia kifuani hadi tumboni...
hahaha mkuu inaonekana uliingia kipindi kwayu hayupo maana kwayu alikua hakuzuii kuinhia au kutoka shule muda unaotaka ila anachotaka ufaulu na hapo ndipo wabafunzi wa azania wakawa ni watu wa kujitafutia sana and thats performance ikawa juu ila baada ya kwayu kuondoka overall performance ya school ikaanza kushuka to date, chavila was smart ila alishindwa kuendana na legacy aliyoiacha kwayu ila ngozye ni jau la maaana haha

kuhusu kung'oa haha azania ilikua chata sana nakumbuka siku moja naenda kigamboni wanafunzi wanazuiwa kuingia lakini mimi konda aliniita mwenyewe akisema "wewe dogo wa azania njoo upande"

amsr.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mlokozi alikua Ndezi tu Labda wangemoa mwalimu Matai(sina hakika hilo jina) yule mzee wa nyaraka alikua poa busara nyingi.

Back
Top Bottom