nilijizuia sana nisiandike ila imenibidi
huyu justine mimi nimesoma nae kidato kimoja kwakifupi tunajuana vizuri, last time nakutana tandika napiga nae story kumbe kesho yake ndo anaenda kusingiziwa ni mwizi na anapigwa mpaka anakufa kisa alifata demu mbagala.
experience nliyoipata azania sitaweza isahau kipindi hicho ilikua ukichaguliwa azania ujue wewe ni bright japo ukiwazingua wanafunzi azania ulikua unakula kichapo si cha nchi hii, nakumbuka mpaka watoto wa shule zengine wakawa wanapenda kuja kushinda azania ili nao waonekane ni azania au wanajuana na wanafunzi wa azania.
pale azania kulikua na makundi matata makubwa mawili capafona na kitengo mawe ila kitengo ndo kama ilikua wamasai wa azania baadhi ya members wa kitengo walikua kama vile man tapa, man sifa, msolid, zungu, ashraph, pengo, hassan shida etc huyo man sifa siku moja aliwakazia dar sec akiwa pekeyake anataka kupambana na shule nzima hahaha me hao kitengo wote walikua wanangu maana ndo nlikua nawakatia mapindi kitaa.
fall of azaboy naiona alipopewa uheadmaster ngozye maana before yeye alikuepo mkuu mmoja nimemsahau jina ila alikuja baada ya kwaya the real icon of azaboy.
RIP marehem allumni wa azaboy man tapa(tapa square), mama mchwa, justine, mchwa mwenyewe just to mention few
ya kuandika ni mengi ila kwa mukhtasar ni hayo tu.
amsr.
Sent using
Jamii Forums mobile app