CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
MAY ndio maarufu sio JOEL ingawa yote tulikuwa tunatumiaNimesoma na Mheshimiwa Sugu shule ya Msingi Ligula,Mtwara.
Tukiwa darasa la pili tulikaa dawati moja na alikuwa ni rafiki yangu sana,tukitoka darasani muda wa saa tano tunakwenda nyumbani kwetu Ligula B tunachota korosho kwenye debe(korosho first grade za kutoka kiwanda cha korosho Likombe ambazo huwa zinauzwa nje ya nchi) tunaweka kwenye mifuko ya kaptura tunakula baadae anakwenda nyumbani kwao kiyangu.
Alikuwa anajulikana kwa jina la Joel.
Sent using Jamii Forums mobile app