Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

nilijizuia sana nisiandike ila imenibidi

huyu justine mimi nimesoma nae kidato kimoja kwakifupi tunajuana vizuri, last time nakutana tandika napiga nae story kumbe kesho yake ndo anaenda kusingiziwa ni mwizi na anapigwa mpaka anakufa kisa alifata demu mbagala.

experience nliyoipata azania sitaweza isahau kipindi hicho ilikua ukichaguliwa azania ujue wewe ni bright japo ukiwazingua wanafunzi azania ulikua unakula kichapo si cha nchi hii, nakumbuka mpaka watoto wa shule zengine wakawa wanapenda kuja kushinda azania ili nao waonekane ni azania au wanajuana na wanafunzi wa azania.

pale azania kulikua na makundi matata makubwa mawili capafona na kitengo mawe ila kitengo ndo kama ilikua wamasai wa azania baadhi ya members wa kitengo walikua kama vile man tapa, man sifa, msolid, zungu, ashraph, pengo, hassan shida etc huyo man sifa siku moja aliwakazia dar sec akiwa pekeyake anataka kupambana na shule nzima hahaha me hao kitengo wote walikua wanangu maana ndo nlikua nawakatia mapindi kitaa.

fall of azaboy naiona alipopewa uheadmaster ngozye maana before yeye alikuepo mkuu mmoja nimemsahau jina ila alikuja baada ya kwaya the real icon of azaboy.

RIP marehem allumni wa azaboy man tapa(tapa square), mama mchwa, justine, mchwa mwenyewe just to mention few

ya kuandika ni mengi ila kwa mukhtasar ni hayo tu.

amsr.

Huyo mwamba Mi naanza form one ndo mwaka mmoja nyuma amevuta kwa kipigo baada ya kusingiziwa wizi ila mwamba alikua maarufu sana Kuanzia Kisutu,zanaki,tuliani,benja,jamhuri na shule zote za mjini..school kila sehemu kulijaa machata yake.

Apumzike panapo stahili Mwamba...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mjerumani nilimpokea akiwa mpoole ila hata alivokuja kupinda nilishangaa sana yani shati jeupe la shule limekua kama jezi ya yanga kabisa [emoji119][emoji119]
[emoji16][emoji16][emoji16] Kipindi kile watu walikua wanapiga boksa na kareti afu ukicheki Azania ni shule inayojali sana michezo....Sasa ungemuona Mjerumani ndo ungecheka zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anastahiki maana pale kuna siku waligombana kisa blu!kakomaa kuipata ndoa!!anatumia jina gani insta!
Yaani enzi zile hakukua tu na mitandao lakini we...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ya insta sielewi account yake.

Kumbe dogo alikuwa hatari teh teh teh...
 

Attachments

  • Screenshot_20200303-234047_Chrome.jpg
    Screenshot_20200303-234047_Chrome.jpg
    119.9 KB · Views: 18
huyu ngozye wakati sisi tunamaliza shule yeye alikua ni mwalimu wa fine art nlipokuja kuskia mara second mara head master nikaona the fall of azania ndo inaanza kuna walihusisha na ushirikina kwa jinsi spidi yake ya kupanda kwake madaraja harakharaka

amsr.
Yule mzee alitumia sana ubabe kuliko akili...wanafunzi tulikua tunamuombea afe makumbuka kauli zake kubwa "Najua kuna watu wananiombea nife ila niwaambie sifi leo wala kesho mpaka mtamaliza shule mtaniacha hapahapa"..."kama hukai darasani utataga tu lazima utage"

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Not sure if they count...

Hashim Rubanza....don’t know where he is now.

Nigga [forget the ER] One....died way too young.

James Wamba...don’t know his whereabouts. But we grew up on the same street

Eazy B.....don’t know where he’s at.

As you can see....I’m old school 😉.

Kama huijui ‘oyaa msela’ pita pembeni.

Wengine tunaijua Mawingu toka ikiwa Mwenge mitaa ya karibu na kanisa Katoliki la Maxmillian Kolbe...
 
Not sure if they count...

Hashim Rubanza....don’t know where he is now.

Nigga [forget the ER] One....died way too young.

James Wamba...don’t know his whereabouts. But we grew up on the same street

Eazy B.....don’t know where he’s at.

As you can see....I’m old school [emoji6].

Kama huijui ‘oyaa msela’ pita pembeni.

Wengine tunaijua Mawingu toka ikiwa Mwenge mitaa ya karibu na kanisa Katoliki la Maxmillian Kolbe...
We mzee Columba mwingira yupo
Umenikumbusha shw zao za sine club Enzi za oya msela oyaaaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise Columba aliendaga states kitambo sana
Wale Sasa ndy mawingu show zao nyingi kusaga ndy alikuwa dj wao
Ila sjui huko states nako kmyaa kajichimbia
Alikuwa na talent ya kikapu pia alikuwa anacheza vijana enz hzo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Nakumbuka OJ alirudishwa bongo...alikuwa anaishi Texas au Ohio..
 
Bou Nako, G- Nako, na Lord Eyes...na machalii wengine waliokulia na kufanya yao Ilboru-Kaloleni.

Pia JCB mfuga Mbwa (Popii) wa Kijenge juu nawafahamu na wao wananifahamu wakati wa utotoni

Wakati Nako 2 Nako wanapiga matizi ya karate uwanja wa sheikh Amri Abeid asbh na mapema then Alasiri mpaka Usiku tunaenda BRONX......!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom