Mbassa jr
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,234
- 3,213
Hahaha man tapa na pengo watoto wa buza hao nishakula nao sana wider kipindi hicho,tapa alikuwa msanii mzuri alikuwa na bifu na baghdad kwa kumuibia nyimbo yake,pengo nahisi alikuwa na kizizi yule jamaa maana alikuwa mwili wa kawaida ila ni ngumi jiwe! Alishawahi kumpga konda ngumi konda akalala chaliii kama kafa!! Daah nakumbuka mbali sana aseeKweli wewe umesoma Azaboi, ongeza kwenye list hapo watu wakorofi kama man tapa, Pengo, Zinde hukumkuta wewe, muddy kipande nae hukumkuta pia,
Sema pale watu maarufu ni Mohamed yupo Azam pale, Iman Nsamila mpiga picha maarufu wa January Makamba na Samatta, Ben Paul tulisoma nae pale Advance ila yeye hakusoma PCM na kipindi hicho hakua maarufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app