Tupeane maujanja ya Dream League Online/Offline

Tupeane maujanja ya Dream League Online/Offline

Munazunguka Sana kuhark nenda

AC market Google dowloard
Halafu dowloard umo nenda kacheze
 
Me mwanzo nilitaka niachane na hili dls 20 la playstore niendelee na la 2019 ila nikaona halina changamoto kabisa unaweza shinda ata 20-0 nikaamua nijenge team yangu hata kama ni miezi6 ila liwe na changamoto
 
mkuu obb download kupitia playstore hiyo ndio njia rahisi fwata maelezo ya game linavyotaka
Sasa mbona link uliyotuma ina Obb file yake...au ile haifanyi kazi?na huko playstore unasearch Obb file ipi?
 
Hilo la 19 halina changamoto kabisa niliunda kikosi balaa nikanunua kina Cr7, Messi, Hazard nakadhalika kisha nikaenda na mfumo wa 4-3-3 nilikuwa nazipiga Arsenal na Man U goli 20 kila mmoja. Nimelifuta juzi kati tu
Nikajua mi ndo huwa napiga magoli mengi 12 mpaka 14... Kumbe kuna vigogo vinapiga magoli mpaka 20.
 
Hapo obb unaweza kudownload kupitia playstore kama app inavyokuelekeza kurahisisha ni kama mb 294 tu alafu litacheza ukifanikiwa nambie nikuelekeze namna ya kufanya waonekane HD
Hebu tupe mambo kwa faida ya wote, unafanyaje waonekane HD??
 
Sasa mbona link uliyotuma ina Obb file yake...au ile haifanyi kazi?na huko playstore unasearch Obb file ipi?
inafanya kazi lakini ina process zake mpaka ifanye kazi kuna mdau kakuambia mpaka utumie ZArchiver alafu extract,sasa kuondoa usumbufu huo wote ndio maana nikakuambia pakua tu kupitia playstore
 
Hebu tupe mambo kwa faida ya wote, unafanyaje waonekane HD??
Fungua game kisha nenda click sehemu imeandikwa "OPTION" inapatikana upande wa juu kushoto mwa game,
Kisha unakuta options nyingi alafu click "GAME SETTINGS" kisha click sehemu upande wa kulia chini imeandikwa "ADVANCE" kisha click sehemu imeandikwa "GRAPHICS OPTIONS" hapo utakuta sehemu mbili venye mshale kuongeza ubora au kupunguza,hapo utachagua mwenyewe
Lakini option ya juu weka kati kwa kati
sio mzuri kuweka mpaka mwisho HD inazidi uwezo wa simu mpaka wanakuwa kama wanaganda ganda hivi ila ya chini weka mpaka mwisho inakuwa fresh.
 
Mkuu unamaanisha ukienda playstore kuna app inaitwa obb unaipakua ama?
hapana obb ni data za game inayoiwezesha licheze,audio music na Matangazo ya mechi kwaiyo ukidownload kupitia playstore automatically litacheza tu hapo hapo itakapomaliza kupakua.
 
Mkuu hatimaye nimefanikiwa. Unafanya vp kutumia timu kama Liverpool, maana mm nimepewa Dream League. Kinacho furahisha ni hizo coin hazishuki kabisa. Alafu mbona naanzia academy division?
Lazma uanzie academy kwasababu wewe ni takataka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Online : Boli linapigwa kule hatari. Kwanza nliona mi ndo nina miwatu mirefu ingawa sijaidevelop, nlikutana na vichezaji vifupi ila vinapiga boli sana.

Nkakutana na kikosi cha wakongwe akina Pele Zidane, Maradona, Cafu, nkawaza jamaa kawaingizaje hawa watu. Ila nkampa kichapo. Nkakutana na jamaa ana miwatu kama yangu imeenda hewani 204 cm, kawadevelop fresh. Dk 45 tu nshakula 6 bila nkaona sasa huku nakoelekea ntakula 20 nkarestart kabisa na simu.
 
Online : Boli linapigwa kule hatari. Kwanza nliona mi ndo nina miwatu mirefu ingawa sijaidevelop, nlikutana na vichezaji vifupi ila vinapiga boli sana.

Nkakutana na kikosi cha wakongwe akina Pele Zidane, Maradona, Cafu, nkawaza jamaa kawaingizaje hawa watu. Ila nkampa kichapo. Nkakutana na jamaa ana miwatu kama yangu imeenda hewani 204 cm, kawadevelop fresh. Dk 45 tu nshakula 6 bila nkaona sasa huku nakoelekea ntakula 20 nkarestart kabisa na simu.
😂😂😂😂😂😂duh.... We noma hukutaka usumbufu kabisa ukaona bora simu ianze upya, kuna watu wanajua kucheza game hatari sana
 
Mkuu Wang Shu hilo game nimelipakua na nimejaribu kulicheza naona hakuna tofauti yoyote na lile la 2019. Maana project ni zile zile utaanzia Academy Division mpaka Division one kisha utaendelea ucheze na mabara hivyo mpaka hatua ya mwisho.

Ila nilicho gundua kwenye hili game ni watu tu wameli hack na kuweka fake graphics lionekane ni la 2020 kumbe ni 2019. Katika option walizo hack ni kama HD view, Both player 204cm, all player unlocked, all player VIP, all player both footed na unlimited coin. Option hizo zilikuwa hazipo kwenye lile la kutengeneza 2019 kwahiyo naweza nikasema DLS la 2020 lililo sahihi ni lile linalopatikana playstore. Maana niliwahi kulipakua kule playstore kilicho ni shinda ni kucheza ukiwa online.
lihack ili usianzie academy division Lile la 2020 mbona linacheza offline mkuu
 
Back
Top Bottom