Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefanikiwa mkuu kuandaa hiiUmefanikiwa?
Hii tunaita Number sorting from A to Z and Z to AHighlight cell husika, then nenda kwenye filter then chagua A to Z
Nimefanikiwa mkuu kuandaa hiiView attachment 437991
Ila nachoshindwa hapo katika hyo miezi nataka niandik jan to dec ila natka niandike jan then ni drag ijipange miezi mingine automatically, alafu natak ni comment hpo kama biashara yangu imepata faida au hasara mkuu, na jinsi ya kutafuta max month receipts na max months payments mkuu. ahsanteh
Yeah unaweza nisaidie hiyo mkuu ya conditional formating inakuaje na chochote kingine ambacho kinabidi kiwe katika mfumo mzuri unaweza nielekeza mkuu.ahsantehAsante na Hongera kwa kuonesha bidii katika kujifunza
Kuhusu miezi andika JANUARY kwenye CELL ya kwanza halafu drag mpaka mwisho itakuletea mpamgaliao wote...
Andika =MAX(D5:16) itakuletea moja kwa moja amount kubwa yaani kuanzia D5 hadi D16 ndio kama unataka ikuletee amount ndogo basi unaandika =MIN(D5:16)
Simply andika =MAX(Range ya data)
Kuhusu faida ninaovoona hapo itakuwa ni sawa na kufanya RECEIPTS - PAYMENTS kwa hiyo andika =D19-K19 lakini kumbuka kiuhasibu hiyo siyo faida kamili tunaiita GROSS PROFIT kumbuka kuna gharama nyingine kama Usafiri, Kodi nk ndio upate faida kamili kwa hiyo zingatia hilo pia katika hesabu zako
Kuhusu kukupa maoni hapo tunaweza fanya conditional formatting ili faida ikupe rangi ya kijana na hasara iandike rangi nyekundu
Asante na Hongera kwa kuonesha bidii katika kujifunza

Kwanza nimefurahi sana umeweza kutumia VLOOKUP kupata bei ya TV hapo na bidhaa zingine big up sana mkuu...View attachment 438029
Na hii party mkuu jinsi ya kufanya counting mkuu inagoma check hapo hyo formula inakataa hii ikoje mkuu
Mchele mkuu!!Kwanza nimefurahi sana umeweza kutumia VLOOKUP kupata bei ya TV hapo na bidhaa zingine big up sana mkuu...
Kuhusu swali lako labda ningependa kujua Unataka kupata nini hapo ulipoandika COUNTIF? Ili niweze kukuelekeza kadiri ya uhitaji
Asante na Hongera kwa kuonesha bidii katika kujifunza
Kuhusu miezi andika JANUARY kwenye CELL ya kwanza halafu drag mpaka mwisho itakuletea mpamgaliao wote...
Andika =MAX(D5:16) itakuletea moja kwa moja amount kubwa yaani kuanzia D5 hadi D16 ndio kama unataka ikuletee amount ndogo basi unaandika =MIN(D5:16)
Simply andika =MAX(Range ya data)
Kuhusu faida ninaovoona hapo itakuwa ni sawa na kufanya RECEIPTS - PAYMENTS kwa hiyo andika =D19-K19 lakini kumbuka kiuhasibu hiyo siyo faida kamili tunaiita GROSS PROFIT kumbuka kuna gharama nyingine kama Usafiri, Kodi nk ndio upate faida kamili kwa hiyo zingatia hilo pia katika hesabu zako
Kuhusu kukupa maoni hapo tunaweza fanya conditional formatting ili faida ikupe rangi ya kijani na hasara iandike rangi nyekundu
Excel ni Accounting package tosha kabisa kwa Wenye kutumia akili kufikiri sio kukariri
Inategemea na version unayotumia..Hii part mkuu bado asee nikiandika january hapo mwanzo thn niki drag cell inajirudia january mpka chini hivo inapoteza maana, na hapo kwenye MIN kama umenielewa vizuri mkuu nachoataka ni vipi nitaunda formular ambayo itanifanya niweze kutafuta MIN ambaye kwenye cell isisome ile no min bali usome mwezi ambao receipts zilikuwa min hyo ndo aim yangu mkuu.Naomba msaada wa hizo mambo muheshimiwa
Swali la pili hapo kuna njia nyingi.. Labda nikuelekeze kwanza hii ya kutumia VLOOKUP maana nimeona kama umeielewaHii part mkuu bado asee nikiandika january hapo mwanzo thn niki drag cell inajirudia january mpka chini hivo inapoteza maana, na hapo kwenye MIN kama umenielewa vizuri mkuu nachoataka ni vipi nitaunda formular ambayo itanifanya niweze kutafuta MIN ambaye kwenye cell isisome ile no min bali usome mwezi ambao receipts zilikuwa min hyo ndo aim yangu mkuu.Naomba msaada wa hizo mambo muheshimiwa