last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Hivi kuna formular ambayo unaweza kutumia kupata jumla ya data kwa kila row na colum mara moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu samahani Tena Kwa kukusumbua. Kama nilivyocomment hapo juu kwenye post #855, nilifanikiwa sana Kwa nilichokuwa nakitaka.Pamoja ndg
Kujua kama mwanafunzi amefanya mtihani au hajafanya, hapo inabidi uwe na kitu cha kutofautisha hizo case mbili. Mfano kwenye score kama patajazwa dash (- -) , kwenye output ionekane hajafanya na kama pataachwa blank, kwenye output ionekane hilo somo ni optional eg kwa mwanafunzi anayesoma Arts hatofanya physics na chemistry (kwenye remark itadisplay Optional) lakini masomo yote yanakuwepo au ukitaka yasiwepo kabisa, panga masomo yote ya lazima yaanze then ya optional yakae mwisho then utumie conditional formatting kwamba kama mwanafunzi atakuwa ni wa Arts basi masomo yaliyobaki ambayo hayamuhusu yasionekane (tumia font color na right,left, na bottom border : white). Hapa nazungumzia Individual student reportMkuu samahani Tena Kwa kukusumbua. Kama nilivyocomment hapo juu kwenye post #855, nilifanikiwa sana Kwa nilichokuwa nakitaka.
Naomba unipe ujanja wa kuniwezesha mwanafunzi mwenye masomo saba alama zionekana Kwa masomo yake saba tu na mwenye masomo zaidi ya saba naye yaonekana yote aliyoyafanya, mengine yasionekane. i . e Kila mwanafunzi ajaziwe alama au grade Kwa masomo aliyoyafanya tu, mengine yasionekane.
Panoja sana kiongozi. Nalifanyia kazi hili.Kujua kama mwanafunzi amefanya mtihani au hajafanya, hapo inabidi uwe na kitu cha kutofautisha hizo case mbili. Mfano kwenye score kama patajazwa dash (- -) , kwenye output ionekane hajafanya na kama pataachwa blank, kwenye output ionekane hilo somo ni optional eg kwa mwanafunzi anayesoma Arts hatofanya physics na chemistry (kwenye remark itadisplay Optional) lakini masomo yote yanakuwepo au ukitaka yasiwepo kabisa, panga masomo yote ya lazima yaanze then ya optional yakae mwisho then utumie conditional formatting kwamba kama mwanafunzi atakuwa ni wa Arts basi masomo yaliyobaki ambayo hayamuhusu yasionekane (tumia font color na right,left, na bottom border : white). Hapa nazungumzia Individual student report
Kingine kwenye kucalculate division huwa yanachukuliwa masomo 7 tu ambayo mwanafunzi amefaulu zaidi so hata kama mwanafunzi atafanya masomo 12 still formula yako itapick hayo masomo 7 tu
Uli save?Njuka II Mkuu msaada tafadhali....nilikuwa na template ya excel kuna kazi nilikuwa nafanya, nikaituma kwa email kwa mtu aliyekusudiwa cha ajabu ni kwamba yeye akiifungua au mimi nikiidownload na kuifungua inakuwa blank.
Msaada tafadhali
Kidnly see the attached.
Hiyo si blank ni faintNjuka II Mkuu msaada tafadhali....nilikuwa na template ya excel kuna kazi nilikuwa nafanya, nikaituma kwa email kwa mtu aliyekusudiwa cha ajabu ni kwamba yeye akiifungua au mimi nikiidownload na kuifungua inakuwa blank.
Msaada tafadhali
Kidnly see the attached.
Screenshot hivyo unavyo drag kwenye cell nyingine may be unakoseaHabari Wakuu,Naomba kusaidia ku find total in horizontal,,Nikisha ingiza formular kwenye cell ya kwanza npata jibu sasa kila niki drag down ili nipate majibu kwenye cell nyingine Haileti,,,
Natumia simu,Mfano wa hizo ni alama za wanafunzi,Nikitafuta total in horizontal kushindwa Msaada wakuu
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Ndiyo ipo zile, =countif...Hivi kuna formular ambayo unaweza kutumia kupata jumla ya data kwa kila row na colum mara moja
Nilisave mkuu lakini haifunguki, inaandika ina protected viewUli save?
Kama file inaandika protected view maana yake kwenye setting za trust center, option ya "Enable protected view for files originating from the internet" iko UNCHECKEDNjuka II Mkuu msaada tafadhali....nilikuwa na template ya excel kuna kazi nilikuwa nafanya, nikaituma kwa email kwa mtu aliyekusudiwa cha ajabu ni kwamba yeye akiifungua au mimi nikiidownload na kuifungua inakuwa blank.
Msaada tafadhali
Kidnly see the attached.
Nashukuru mkuu let me check it closelyKama file inaandika protected view maana yake kwenye setting za trust center, option ya "Enable protected view for files originating from the internet" iko UNCHECKED
Nenda kwenye File tab>>Options>>Trust center>>trust center settings>>protected view>>weka tick kwenye "Enable" then click
Make sure pc yako iko na strong anti virus to deal with trojans, just in case
Mkuu nimepitia hatua zote ulizonielekeza na majibu ni kama ifuatavyo,Kama file inaandika protected view maana yake kwenye setting za trust center, option ya "Enable protected view for files originating from the internet" iko UNCHECKED
Nenda kwenye File tab>>Options>>Trust center>>trust center settings>>protected view>>weka tick kwenye "Enable" then click
Make sure pc yako iko na strong anti virus to deal with trojans, just in case
Hebu jaribu kurudia hiyo process, then hizo tick zitoe..usisahau kuclick OKMkuu nimepitia hatua zote ulizonielekeza na majibu ni kama ifuatavyo,
Kwa fiupi nimekwama