Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Pamoja ndg
Mkuu samahani Tena Kwa kukusumbua. Kama nilivyocomment hapo juu kwenye post #855, nilifanikiwa sana Kwa nilichokuwa nakitaka.

Naomba unipe ujanja wa kuniwezesha mwanafunzi mwenye masomo saba alama zionekana Kwa masomo yake saba tu na mwenye masomo zaidi ya saba naye yaonekana yote aliyoyafanya, mengine yasionekane. i . e Kila mwanafunzi ajaziwe alama au grade Kwa masomo aliyoyafanya tu, mengine yasionekane.
 
Kujua kama mwanafunzi amefanya mtihani au hajafanya, hapo inabidi uwe na kitu cha kutofautisha hizo case mbili. Mfano kwenye score kama patajazwa dash (- -) , kwenye output ionekane hajafanya na kama pataachwa blank, kwenye output ionekane hilo somo ni optional eg kwa mwanafunzi anayesoma Arts hatofanya physics na chemistry (kwenye remark itadisplay Optional) lakini masomo yote yanakuwepo au ukitaka yasiwepo kabisa, panga masomo yote ya lazima yaanze then ya optional yakae mwisho then utumie conditional formatting kwamba kama mwanafunzi atakuwa ni wa Arts basi masomo yaliyobaki ambayo hayamuhusu yasionekane (tumia font color na right,left, na bottom border : white). Hapa nazungumzia Individual student report

Kingine kwenye kucalculate division huwa yanachukuliwa masomo 7 tu ambayo mwanafunzi amefaulu zaidi so hata kama mwanafunzi atafanya masomo 12 still formula yako itapick hayo masomo 7 tu
 
Hii tamu sana sisi wengine tushaamua kuwaachia ps,s wamalize kila kitu akileta kwako ni kumwaga wino tu na kugonga muhuri husika.
 
Kujua kama mwanafunzi amefanya mtihani au hajafanya, hapo inabidi uwe na kitu cha kutofautisha hizo case mbili. Mfano kwenye score kama patajazwa dash (- -) , kwenye output ionekane hajafanya na kama pataachwa blank, kwenye output ionekane hilo somo ni optional eg kwa mwanafunzi anayesoma Arts hatofanya physics na chemistry (kwenye remark itadisplay Optional) lakini masomo yote yanakuwepo au ukitaka yasiwepo kabisa, panga masomo yote ya lazima yaanze then ya optional yakae mwisho then utumie conditional formatting kwamba kama mwanafunzi atakuwa ni wa Arts basi masomo yaliyobaki ambayo hayamuhusu yasionekane (tumia font color na right,left, na bottom border : white). Hapa nazungumzia Individual student report

Kingine kwenye kucalculate division huwa yanachukuliwa masomo 7 tu ambayo mwanafunzi amefaulu zaidi so hata kama mwanafunzi atafanya masomo 12 still formula yako itapick hayo masomo 7 tu
Panoja sana kiongozi. Nalifanyia kazi hili.
 
Habari Wakuu,Naomba kusaidia ku find total in horizontal,,Nikisha ingiza formular kwenye cell ya kwanza npata jibu sasa kila niki drag down ili nipate majibu kwenye cell nyingine Haileti,,,

Natumia simu,Mfano wa hizo ni alama za wanafunzi,Nikitafuta total in horizontal kushindwa Msaada wakuu

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Njuka II Mkuu msaada tafadhali....nilikuwa na template ya excel kuna kazi nilikuwa nafanya, nikaituma kwa email kwa mtu aliyekusudiwa cha ajabu ni kwamba yeye akiifungua au mimi nikiidownload na kuifungua inakuwa blank.
Msaada tafadhali
Kidnly see the attached.
 
Attachments

  • Screenshot 2023-01-25 081729-bbb.jpg
    Screenshot 2023-01-25 081729-bbb.jpg
    17.5 KB · Views: 27
Njuka II Mkuu msaada tafadhali....nilikuwa na template ya excel kuna kazi nilikuwa nafanya, nikaituma kwa email kwa mtu aliyekusudiwa cha ajabu ni kwamba yeye akiifungua au mimi nikiidownload na kuifungua inakuwa blank.
Msaada tafadhali
Kidnly see the attached.
Uli save?
 
Hiyo si blank ni faint
Inaonekana file lime oversize kiasi kwamba haliafunguka lote nitumie hilo file inbox nikusaidie maana hapo ni Issue za extension tu
 
Habari Wakuu,Naomba kusaidia ku find total in horizontal,,Nikisha ingiza formular kwenye cell ya kwanza npata jibu sasa kila niki drag down ili nipate majibu kwenye cell nyingine Haileti,,,

Natumia simu,Mfano wa hizo ni alama za wanafunzi,Nikitafuta total in horizontal kushindwa Msaada wakuu

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Screenshot hivyo unavyo drag kwenye cell nyingine may be unakosea
 
Njuka II Mkuu msaada tafadhali....nilikuwa na template ya excel kuna kazi nilikuwa nafanya, nikaituma kwa email kwa mtu aliyekusudiwa cha ajabu ni kwamba yeye akiifungua au mimi nikiidownload na kuifungua inakuwa blank.
Msaada tafadhali
Kidnly see the attached.
Kama file inaandika protected view maana yake kwenye setting za trust center, option ya "Enable protected view for files originating from the internet" iko UNCHECKED

Nenda kwenye File tab>>Options>>Trust center>>trust center settings>>protected view>>weka tick kwenye "Enable" then click

Make sure pc yako iko na strong anti virus to deal with trojans, just in case
 
Nashukuru mkuu let me check it closely
 
Kama file inaandika protected view maana yake kwenye setting za trust center, option ya "Enable protected view for files originating from the internet" iko UNCHECKED
Nenda kwenye File tab>>Options>>Trust center>>trust center settings>>protected view>>weka tick kwenye "Enable" then click
Make sure pc yako iko na strong anti virus to deal with trojans, just in case
Mkuu nimepitia hatua zote ulizonielekeza na majibu ni kama ifuatavyo,
Kwa fiupi nimekwama
 
Attachments

  • Screenshot 2023-01-25 132227-369.jpg
    Screenshot 2023-01-25 132227-369.jpg
    29.3 KB · Views: 27
Kwa mfano kwenye sheet yangu nna column 6. A mpaka F,

A na B ntaweka namba zangu alafu zile column zilizobaki
C- nataka inijumlishie namba nitakazoweka kwenye cell za A na B.
D- inipe majibu ya difference btn cells
E- inipe multiplication
F- inipe division

NAFANYAJE WAKUU.
SIJAPITIA COMMENTS ZOTE KWA IYO KAMA KUNA MAALI HILI LIMESHAJADILIWA NAOMBA NIPELEKWE HAPO.

natanguliza shukran .
 
Back
Top Bottom