Tupeane mbinu mpya za kuhifadhi pesa za vikundi naona vm-koba kazi inataka kuwashinda

Tupeane mbinu mpya za kuhifadhi pesa za vikundi naona vm-koba kazi inataka kuwashinda

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,283
Reaction score
23,443
Dalili ya Mvua ni Mawingu ndungu zangu, Hawa Mkoba online naona kama kazi inataka kuwashinda!

Naomba tupeane Mbinu mpya ya kuhifadhi pesa za vikundi ambapo unaweza kuhifadhi kirahisi na kuipata kwa haraka muda wowote 24/7
 
Ukitaka uhifadhi hela na kuipata 24/7 fanya mambo matatu.
1.Kataa ndoa (kimbia majukumu yasio ya lazima).
2.Kaa na hela yako ndani.
3.Rudia tena na tena jambo la 1 na2.
 
Wataalam wa fedha tunaomba ushauri wenu kuhusu haki ya accessibility ya Watunza fedha ikitokea wakishindwa kuipata pesa zao kwa wakati kwa kisingizio cha mtandao kumbe pesa AKAUNTI YA MTOA HUDUMA HAINA PESA ZA KUTOSHA AU Amefiliska (SECURITY IKOJE?)
 
Hapa unapiga ramli, umeulizwa wana shida gani unaanza kufananaisha DECI, Crypto na M-Koba. Sema umepatwa na changamoto gani kwenye hiyo huduma watu wakuelewe ili kama ni kusaidika usaidike au kama lengo ni kuwasaidia wengine uwe umewasaidia kwa point ABC
 
Soma topic na uzi upya
 
Ina changamoto gani ukiacha ile ya matatizo ya hapa na pale ya mtandao?
Una uhakika gani ni mtandao? Lugha ya karamu huwa na fumbo lake! Uliona tangazo la umma kukujulisha kuna tatizo la mtandao lionesha muda?

Msomi akitaka kukuibia haabi kwa kelele
 
Back
Top Bottom