privacy
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 1,448
- 1,290
Ukiona huelewi tambua wakati wa kuelewa haujafika
Umedhihirisha wewe ni wa kupuuzwa
Ukiona huelewi tambua wakati wa kuelewa haujafika
Naunga mkono hoja, maana nimesoma comments zote naona meta mada hana la maana linalo eleweka.Umedhihirisha wewe ni wa kupuuzwa
Uko sahihiNaunga mkono hoja, maana nimesoma comments zote naona meta mada hana la maana linalo eleweka.
SawaUmedhihirisha wewe ni wa kupuuzwa
Nakushauri huu uzi uutunze unaweza ukawa na faida ya kurejea mbeleniDaaah majungu live kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
Aisee!!Una uhakika gani ni mtandao? Lugha ya karamu huwa na fumbo lake! Uliona tangazo la umma kukujulisha kuna tatizo la mtandao lionesha muda?
Msomi akitaka kukuibia haabi kwa kelele
Mnavuta mibangi huko halafu mnashika simu na kuanzisha uziSoma topic na uzi upya
Mimi nimetoa hela leo kwenye kikundi chetu cha tuliosoma wote mafundisho ya kipaimara mwaka 2001Jaman inaonekana kama vile.mtoa mada kuna kitu anakijua maana tangu ijumaa kwenye kikundi chetu cha mkoba hela haitoki
Basi labda kwetu kuna shida maana inasema haiko successful tangu hyo sikuMimi nimetoa hela leo kwenye kikundi chetu cha tuliosoma wote mafundisho ya kipaimara mwaka 2001