Kwa Korosho kama mfukoni upo vizuri ningekushauri uwekeze kwenye zao Hilo,ila linagharama kulihudumia mpaka kipindi cha kuanza kuvuna, N,B ila usilime sehemu ambayo UPO peke Yako kwa zao Hilo, wekeza kuanzia mkoa wa pwani,Lindi,na Mtwara,kwa uzoefu wangu KWENYE zao hilo, nikutakie maono mema,ukishakuwa tayari Anza kutafuta mapori,fursa zingine utaziona ukishakuwa una ardhi ya kutosha,[emoji16]minazi for how long chief?
Ilikuwa lini hasa ulipoenda huko?kuna sehemu nilienda huko nyanda za juu kusini ndizi shambani mkungu ni sh 4000,
Kwa mkoa wa kigoma lima parachichiWadau hali ya kiuchumi ya watanzania inajulikana , wengi wetu vipato vinasua sua sio kwa jobless ama employee iwe public ama private entity.
Wakuu nimekuja hapa tupeane updates ni mkoa gani ama wapi hapa nchini kwetu unaweza wekeza kwenye zao la kudumu likakupa pesa kwa kipindi kirefu.
N.B Mimi ni mtumishi wa halmashauri ya Buhigwe natafuta unafuu wa kiuchumi
hii itakua ni tukuyu-mbeyaIlikuwa lini hasa ulipoenda huko?
Unaweza kusema Jina la mkoa huo?
Ahsante
thanks chiefKwa Korosho kama mfukoni upo vizuri ningekushauri uwekeze kwenye zao Hilo,ila linagharama kulihudumia mpaka kipindi cha kuanza kuvuna, N,B ila usilime sehemu ambayo UPO peke Yako kwa zao Hilo, wekeza kuanzia mkoa wa pwani,Lindi,na Mtwara,kwa uzoefu wangu KWENYE zao hilo, nikutakie maono mema,ukishakuwa tayari Anza kutafuta mapori,fursa zingine utaziona ukishakuwa una ardhi ya kutosha,[emoji16]
Njoo sehemu moja inaitwa naliendele ipo pembezoni mwa mji wa mtwaraIlikuwa lini hasa ulipoenda huko?
Unaweza kusema Jina la mkoa huo?
Ahsante
Moro upo sehemu gani? nahitaji nije nijifunze hapo Shambani kwako.Tafuta shamba lima embe dodo zile za miaka mitatu au migomba ya ndizi.
Njoo moro nikuonyeshe
Mnazi unaanza kuzaa miaka 6 au 7, life span yake ni zaidi ya miaka 100. ni uwekezaji Mzuri sana.minazi for how long chief?
Korosho kwa sasa ni pasua kichwa! sisi tuliopo kwenye korosho tumekimbilia kwenye ufuta! na wengine wamefyeka mikorosho yote wamepanda miembe.Kwa Korosho kama mfukoni upo vizuri ningekushauri uwekeze kwenye zao Hilo,ila linagharama kulihudumia mpaka kipindi cha kuanza kuvuna, N,B ila usilime sehemu ambayo UPO peke Yako kwa zao Hilo, wekeza kuanzia mkoa wa pwani,Lindi,na Mtwara,kwa uzoefu wangu KWENYE zao hilo, nikutakie maono mema,ukishakuwa tayari Anza kutafuta mapori,fursa zingine utaziona ukishakuwa una ardhi ya kutosha,[emoji16]
Na hili ndio linafanya watu waendelee kuwa Duni Ni vigumu kukimbizana na Soko cha kufanya wewe jikite kwenye unachofanya tengeneza contacts na wanunuzi long term wakiamini mzigo wako hata kama sio mwaka huu au mwaka kesho mwisho wa siku watakuja......Korosho kwa sasa ni pasua kichwa! sisi tuliopo kwenye korosho tumekimbilia kwenye ufuta! na wengine wamefyeka mikorosho yote wamepanda miembe.
Kumbuka Kilimo ni Lifestyle; Ukipenda Kilimo na maisha ya Mkulima basi utakuwa umeshinda wala hautakosa kipato cha kujitosheleza...; Ila ukiingia sababu umeambiwa kinaweza kukulipa / kutajirika huenda ukaishia kwenye stress....
Hakuna kitu hakilipi kama kuna soko na kama soko unalo unalijua sio lazima uanzie kwenye kulima unaweza ukawa middleman
Wengi ni masikini kwa sababu ya mikopo ya mabenk.Enzi hizo nilikuwa nafikiri ukishapata kazi serikalini umetoboa. Kumbe kuna walioko humo wanatamani kuchomoka?
Inapidi ufanye comparison as opposed to who ? Serikalini kuna Security mtu akiishi within his means na hata akizeeka atakuwa pensionable sasa linganisha na mbangaizaji machinga kitaa ambaye anaamka asubuhi hajui kama atapata pesa za kula jioni na siku nguvu zikikata hana hata pension ya kununua panadol....Enzi hizo nilikuwa nafikiri ukishapata kazi serikalini umetoboa. Kumbe kuna walioko humo wanatamani kuchomoka?
Naweza kupata picha yake mkuu, nimezoea kulima kahawa ya kawaidaKuna kahawa ya asili unaweza kulima hata mikoa ya pwani inatokana na mkunde pori, kahawa yake ni tamu, haina madhara kama ya kahawa ya Kawaida, ni dawa, inakuacha na nguvu mwilini kwa masaa mengi, miezi kadhaa tu unavuna, inastahimili sana ukame, haihitaji mbolea wakati wa kuilima
Acheni utani AC,zote hizo halafu kuwe na njaa si kweli,Huku nje jamani jua Kali sanamfukoni njaa kali mkuu
Nakubaliana na wewe, mwenye pesa namheshimu maana katumia akili sana kupata Pesamtu mwenye pesa mheshimu sana ,kuchomoka kutoka dimbwi la umasikini sio mchezo
Hongera Kwa kuthubutu,hayo ni maamuzi magumu sana ,ujasiri mkubwa SanaUshuhuda wangu
Mwaka 2015 nilikua kwenye ajira ya mateso kwani nilikua sina familia lakini kipato kilikua hakinitoshi
Kuna pesa niliipata nikaamua kununua pori la ekari 4
Aisee niliamua kufia shambani kwa kilimo Cha machungwa
Kwa kila kidogo nilichokua nakipata nilikipeleka Shamba
2019 niliamua kuacha kazi Rasmi nikawa busy na Shamba
Hapa usomi wangu niliuweka pembeni nikauvaa ukulima hasa
Marafiki na ndugu wengi walinikimbia kwa kuona nitakua mzigo kwangu
Nilipambana haswa
Mpaka naandika uzi huu kilimo cha machungwa kimenipa Heshima kwenye jamii
Sina muda mrefu na mimi nitaanza kutoa ushuhuda ya kwamba bora kujiajiri kuliko kuajiriwa hasa kwenye hizi kazi za Local Government