Tupeane mbinu: Ni uwekezaji gani wa zao la kudumu ambalo nikilima linaweza kunipa kipato toshelezi?

Tupeane mbinu: Ni uwekezaji gani wa zao la kudumu ambalo nikilima linaweza kunipa kipato toshelezi?

minazi for how long chief?
Kwa Korosho kama mfukoni upo vizuri ningekushauri uwekeze kwenye zao Hilo,ila linagharama kulihudumia mpaka kipindi cha kuanza kuvuna, N,B ila usilime sehemu ambayo UPO peke Yako kwa zao Hilo, wekeza kuanzia mkoa wa pwani,Lindi,na Mtwara,kwa uzoefu wangu KWENYE zao hilo, nikutakie maono mema,ukishakuwa tayari Anza kutafuta mapori,fursa zingine utaziona ukishakuwa una ardhi ya kutosha,[emoji16]
 
Wadau hali ya kiuchumi ya watanzania inajulikana , wengi wetu vipato vinasua sua sio kwa jobless ama employee iwe public ama private entity.

Wakuu nimekuja hapa tupeane updates ni mkoa gani ama wapi hapa nchini kwetu unaweza wekeza kwenye zao la kudumu likakupa pesa kwa kipindi kirefu.

N.B Mimi ni mtumishi wa halmashauri ya Buhigwe natafuta unafuu wa kiuchumi
Kwa mkoa wa kigoma lima parachichi
Hapo utapiga hela

Kuna jamaaa analima huko kakonko zaidi ya. Ekari 20 za parachichi anapiga hela noma
 
Kwa Korosho kama mfukoni upo vizuri ningekushauri uwekeze kwenye zao Hilo,ila linagharama kulihudumia mpaka kipindi cha kuanza kuvuna, N,B ila usilime sehemu ambayo UPO peke Yako kwa zao Hilo, wekeza kuanzia mkoa wa pwani,Lindi,na Mtwara,kwa uzoefu wangu KWENYE zao hilo, nikutakie maono mema,ukishakuwa tayari Anza kutafuta mapori,fursa zingine utaziona ukishakuwa una ardhi ya kutosha,[emoji16]
thanks chief
 
Korosho kwa sasa ni pasua kichwa! sisi tuliopo kwenye korosho tumekimbilia kwenye ufuta! na wengine wamefyeka mikorosho yote wamepanda miembe.
 
Nenda maeneo ya manyovu ( Munanila, mwayaya, nyakimue na muhinda) tafuta shamba si chini ya hekari 3 - 5 Lima ndizi na kahawa baada ya Miaka 3/2 utakuja kunishukuru
 
Kumbuka Kilimo ni Lifestyle; Ukipenda Kilimo na maisha ya Mkulima basi utakuwa umeshinda wala hautakosa kipato cha kujitosheleza...; Ila ukiingia sababu umeambiwa kinaweza kukulipa / kutajirika huenda ukaishia kwenye stress....

Hakuna kitu hakilipi kama kuna soko na kama soko unalo unalijua sio lazima uanzie kwenye kulima unaweza ukawa middleman
 
Korosho kwa sasa ni pasua kichwa! sisi tuliopo kwenye korosho tumekimbilia kwenye ufuta! na wengine wamefyeka mikorosho yote wamepanda miembe.
Na hili ndio linafanya watu waendelee kuwa Duni Ni vigumu kukimbizana na Soko cha kufanya wewe jikite kwenye unachofanya tengeneza contacts na wanunuzi long term wakiamini mzigo wako hata kama sio mwaka huu au mwaka kesho mwisho wa siku watakuja......

Ukifukuzana na Bei ya mwaka jana mwaka huu utajikuta unapishana na Bei - Watu walime wanacholima sehemu ambapo kinastawi na sio bei ya mwaka jana ilikuwaje...
 
Kumbuka Kilimo ni Lifestyle; Ukipenda Kilimo na maisha ya Mkulima basi utakuwa umeshinda wala hautakosa kipato cha kujitosheleza...; Ila ukiingia sababu umeambiwa kinaweza kukulipa / kutajirika huenda ukaishia kwenye stress....

Hakuna kitu hakilipi kama kuna soko na kama soko unalo unalijua sio lazima uanzie kwenye kulima unaweza ukawa middleman

[emoji419]
 
Enzi hizo nilikuwa nafikiri ukishapata kazi serikalini umetoboa. Kumbe kuna walioko humo wanatamani kuchomoka?
Inapidi ufanye comparison as opposed to who ? Serikalini kuna Security mtu akiishi within his means na hata akizeeka atakuwa pensionable sasa linganisha na mbangaizaji machinga kitaa ambaye anaamka asubuhi hajui kama atapata pesa za kula jioni na siku nguvu zikikata hana hata pension ya kununua panadol....

In short hali sio shwari na it's gonna get worse.... Serikalini kukosekana ajira zenye ujira zimeondoa kabisa middle income (na hawa katika jamii yenye ustawi inabidi wawe wengi)
 
Kuna kahawa ya asili unaweza kulima hata mikoa ya pwani inatokana na mkunde pori, kahawa yake ni tamu, haina madhara kama ya kahawa ya Kawaida, ni dawa, inakuacha na nguvu mwilini kwa masaa mengi, miezi kadhaa tu unavuna, inastahimili sana ukame, haihitaji mbolea wakati wa kuilima
Naweza kupata picha yake mkuu, nimezoea kulima kahawa ya kawaida
 
Ushuhuda wangu
Mwaka 2015 nilikua kwenye ajira ya mateso kwani nilikua sina familia lakini kipato kilikua hakinitoshi
Kuna pesa niliipata nikaamua kununua pori la ekari 4
Aisee niliamua kufia shambani kwa kilimo Cha machungwa
Kwa kila kidogo nilichokua nakipata nilikipeleka Shamba
2019 niliamua kuacha kazi Rasmi nikawa busy na Shamba
Hapa usomi wangu niliuweka pembeni nikauvaa ukulima hasa
Marafiki na ndugu wengi walinikimbia kwa kuona nitakua mzigo kwangu
Nilipambana haswa

Mpaka naandika uzi huu kilimo cha machungwa kimenipa Heshima kwenye jamii
Sina muda mrefu na mimi nitaanza kutoa ushuhuda ya kwamba bora kujiajiri kuliko kuajiriwa hasa kwenye hizi kazi za Local Government
Hongera Kwa kuthubutu,hayo ni maamuzi magumu sana ,ujasiri mkubwa Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom