Kwa Korosho kama mfukoni upo vizuri ningekushauri uwekeze kwenye zao Hilo,ila linagharama kulihudumia mpaka kipindi cha kuanza kuvuna, N,B ila usilime sehemu ambayo UPO peke Yako kwa zao Hilo, wekeza kuanzia mkoa wa pwani,Lindi,na Mtwara,kwa uzoefu wangu KWENYE zao hilo, nikutakie maono mema,ukishakuwa tayari Anza kutafuta mapori,fursa zingine utaziona ukishakuwa una ardhi ya kutosha,[emoji16]minazi for how long chief?