Sijui nikuelezeeje unielewe ila kwa kifupi ni hivi uo mshahara wako utakua unakatwa alaf iyo ela inayokatwa baadae ukija kustaafu ndo unapewa mafao yako sasa imagine umefanya kaz zaid ya miaka30 alaf mafao unakuja kupewa million17….sasa hapo unakuta ulitakiwa upewe hata million40 lakin icho kikokotoo zinapigwa hesabu za ajabuajabu apo mwisho wa siku hela inachojoka yote unabakiwa na million 17 izo😂😂😂Enheeee kipoje master?
upuuzi kabisa wakitoe tuSijui nikuelezeeje unielewe ila kwa kifupi ni hivi uo mshahara wako utakua unakatwa alaf iyo ela inayokatwa baadae ukija kustaafu ndo unapewa mafao yako sasa imagine umefanya kaz zaid ya miaka30 alaf mafao unakuja kupewa million17….sasa hapo unakuta ulitakiwa upewe hata million40 lakin icho kikokotoo zinapigwa hesabu za ajabuajabu apo mwisho wa siku hela inachojoka yote unabakiwa na million 17 izo😂😂😂
Posho kwa mwez ndo laki4 ukijumlisha na mshahara take home 390000…..400000 + 390000=790000cjaelewa hapa kwahiyo jumla kwa siku 30 za mwez anapata shingap? au ndio hiyo laki 4
Anhaaa ko kila mwezi hiyo 400K ya posho unaipata sio?Posho kwa mwez ndo laki4 ukijumlisha na mshahara take home 390000…..400000 + 390000=790000
Kwahyo kwa mwez utakua unapata 790000/=
sahihi kabisa mkuu ukiwa na mapepe utadataHii kaz ya polisi ni nzur endapo utatulia na utakua na akili ✍️
Hii kaz ya polisi ni nzur endapo utatulia na utakua na akili ✍️
Ndio mkuuAnhaaa ko kila mwezi hiyo 400K ya posho unaipata sio?
navyoskia ukiingia polis huruhusiwi kuoa wala kuolewa mpka miaka m3 iishe sasa hii miaka m3 itumie vzur hakikisha kila mwezi unatumia pesa isizid 350000 alaf iyo inayobak save pembeni ambayo ni 440000 sasa hii pesa ukiitunza baada ya miaka3 utakua na zaid ya million14 sasa huu ni mtaji tosha wa kukutoa kimaisha ✍️
Hapa umepiga penyew askar chin na mitungi san then baadae utaskia mshahr mdogo....Japo pesa haijawah kutosha😂Sasa ww ukiwa ni mtu wa pombe na wanawake bas utaishia kila siku kulalamika polis hela ndogo mshahara hautoshi
Akili kubwa sana familiar ang✊navyoskia ukiingia polis huruhusiwi kuoa wala kuolewa mpka miaka m3 iishe sasa hii miaka m3 itumie vzur hakikisha kila mwezi unatumia pesa isizid 350000 alaf iyo inayobak save pembeni ambayo ni 440000 sasa hii pesa ukiitunza baada ya miaka3 utakua na zaid ya million14 sasa huu ni mtaji tosha wa kukutoa kimaisha ✍️
aisee wanawake na pombe vinamaliza hela hii ikae kichwan maafande ✍️Hapa umepiga penyew askar chin na mitungi san then baadae utaskia mshahr mdogo....Japo pesa haijawah kutosha😂
Uhakika ukilewa zinaamia chin hapo bar kila manz unamuona malaika 😂aisee wanawake na pombe vinamaliza hela hii ikae kichwan maafande ✍️
👊👊Akili kubwa sana familiar ang✊
Hatar mkuuUhakika ukilewa zinaamia chin hapo bar kila manz unamuona malaika 😂
Piga chini wanawake piga chini pombe….narudia pombe na wanawake vinamaliza hela sio poaa 📢Uhakika ukilewa zinaamia chin hapo bar kila manz unamuona malaika 😂
Mkuu umetisha sana na uzidi kuwepo ukishakua kwenye payroll ya GVt hapo inatakiwa ujue akiba/azina na sio anasa..Hapa duniani maadui wa3 wa maendeleo ni wanawake, pombe, na kamali…..ukiweza kuviepuka hivi vitu vitatu na mshahara unaingia basi maisha kwako yatakua mazur always ✍️
tena hawa wanawake wa ki_leo wao na pesa kama embe na kokwa lake😂😂Imagine mwanamke unaenda kukutana nae una spend zaid ya elf50….sasa ukifanya ivo mara4 kwa mwez kwanini usilie kua mshahara hautoshi😂