Jax66
JF-Expert Member
- Nov 10, 2023
- 561
- 510
Sijui nikuelezeeje unielewe ila kwa kifupi ni hivi uo mshahara wako utakua unakatwa alaf iyo ela inayokatwa baadae ukija kustaafu ndo unapewa mafao yako sasa imagine umefanya kaz zaid ya miaka30 alaf mafao unakuja kupewa million17….sasa hapo unakuta ulitakiwa upewe hata million40 lakin icho kikokotoo zinapigwa hesabu za ajabuajabu apo mwisho wa siku hela inachojoka yote unabakiwa na million 17 izo😂😂😂Enheeee kipoje master?