Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Enheeee kipoje master?
Sijui nikuelezeeje unielewe ila kwa kifupi ni hivi uo mshahara wako utakua unakatwa alaf iyo ela inayokatwa baadae ukija kustaafu ndo unapewa mafao yako sasa imagine umefanya kaz zaid ya miaka30 alaf mafao unakuja kupewa million17….sasa hapo unakuta ulitakiwa upewe hata million40 lakin icho kikokotoo zinapigwa hesabu za ajabuajabu apo mwisho wa siku hela inachojoka yote unabakiwa na million 17 izo😂😂😂
 
upuuzi kabisa wakitoe tu
 
navyoskia ukiingia polis huruhusiwi kuoa wala kuolewa mpka miaka m3 iishe sasa hii miaka m3 itumie vzur hakikisha kila mwezi unatumia pesa isizid 350000 alaf iyo inayobak save pembeni ambayo ni 440000 sasa hii pesa ukiitunza baada ya miaka3 utakua na zaid ya million14 sasa huu ni mtaji tosha wa kukutoa kimaisha ✍️
Hii kaz ya polisi ni nzur endapo utatulia na utakua na akili ✍️
 
Sasa ww ukiwa ni mtu wa pombe na wanawake bas utaishia kila siku kulalamika polis hela ndogo mshahara hautoshi
navyoskia ukiingia polis huruhusiwi kuoa wala kuolewa mpka miaka m3 iishe sasa hii miaka m3 itumie vzur hakikisha kila mwezi unatumia pesa isizid 350000 alaf iyo inayobak save pembeni ambayo ni 440000 sasa hii pesa ukiitunza baada ya miaka3 utakua na zaid ya million14 sasa huu ni mtaji tosha wa kukutoa kimaisha ✍️
 
Sasa ww ukiwa ni mtu wa pombe na wanawake bas utaishia kila siku kulalamika polis hela ndogo mshahara hautoshi
Hapa umepiga penyew askar chin na mitungi san then baadae utaskia mshahr mdogo....Japo pesa haijawah kutosha😂
 
navyoskia ukiingia polis huruhusiwi kuoa wala kuolewa mpka miaka m3 iishe sasa hii miaka m3 itumie vzur hakikisha kila mwezi unatumia pesa isizid 350000 alaf iyo inayobak save pembeni ambayo ni 440000 sasa hii pesa ukiitunza baada ya miaka3 utakua na zaid ya million14 sasa huu ni mtaji tosha wa kukutoa kimaisha ✍️
Akili kubwa sana familiar ang✊
 
Hapa duniani maadui wa3 wa maendeleo ni wanawake, pombe, na kamali…..ukiweza kuviepuka hivi vitu vitatu na mshahara unaingia basi maisha kwako yatakua mazur always ✍️
 
Mkuu umetisha sana na uzidi kuwepo ukishakua kwenye payroll ya GVt hapo inatakiwa ujue akiba/azina na sio anasa..
cause "If you plan to fail, fail to plan"
 
Imagine mwanamke unaenda kukutana nae una spend zaid ya elf50….sasa ukifanya ivo mara4 kwa mwez kwanini usilie kua mshahara hautoshi😂
 
tena hawa wanawake wa ki_leo wao na pesa kama embe na kokwa lake😂😂
 
Back
Top Bottom