Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Habari mkuu, kwa mtu alieombea kazi ya polisi kwa cheti cha FORM SIX OR CERTIFICATE HILA ana DEGREE .Utaratibu hupoje baada ya kupata ajira .Atatambulikaje kama ana DEGREE,ANARUHUSIWA KULETA CHETI? NA HATUA ZIPI ANAFATA,PIA NI BAADA YA MDA GANI UNARUHUSIWA KULETA HIKO CHETI CHA DEGREE . (PIA UNASHURI NINI KWA WATU WA NAMNA HIYO)
 
Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko

Asantni🙏
Aisee unataka ajira hizo za kwenda kuumiza watu?
 
Nasikia ni baadae ya miaka 3 ndo unaweza peleka vyeti vyako wakaupdate
 
Kuna siku nimesema humu kua kuna nafasi zingine watatoa mwezi wa 10 basi kuna raia akaibukaa "Ooh umekariri mara eti sina data😀" aisee bora Mkuu nawewe umewaletea hio lonjaa...nataka niwaeleze kitu wanangu mkipewa lonja jaribuni kufatlia we ukiona miyeyusho unaikaushiaa atakae amua kuchukua na achukue ili ajipange inaweza kumsaidia Au Laaah sio kuanza critisizim ikiwa huna facts🙌.
 
🙄🙄🧐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…