Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐ Tuendeelee kusubiri tuuu lakini kwa mwez huu cdhaniHivi majina ya kwenda kweny usaili yanaweza kutoka mwezi huu kweli maana sio kwa kimya hiki!
aisee wewe ni pongo, tena namba H.
Kwa ukimyaa huu majina yanaweza toka mwez8 sasa sijui watakua walikua wana maana gan kutangaza izo ajira mapema tang mwez5!!๐ค๐๐ Tuendeelee kusubiri tuuu lakini kwa mwez huu cdhani
Pongo ndo nn?Mimi sipo huko kabisa...nafanya biashara zangu tu...nimeendesha Hadi boda boda jijini dar es salaam ๐๐๐
Watu wanaitwa kimya kimya ๐๐๐Kwa ukimyaa huu majina yanaweza toka mwez8 sasa sijui watakua walikua wana maana gan kutangaza izo ajira mapema tang mwez5!!๐ค
Niko name ya PTPongo ndo nn?
Masihara ayoo mkuuWatu wanaitwa kimya kimya ๐๐๐
AnhaaaNiko name ya PT
Matanga Mbushi alikupa chakaMimi sipo huko kabisa...nafanya biashara zangu tu...nimeendesha Hadi boda boda jijini dar es salaam ๐๐๐
POLISI huwajui wewe kumbeMasihara ayoo mkuu
Kwa Mfano Intake Ya J3 Mchakato ulikuwa mrefu.... Ajira Zilitangazwa Mwezi Wa 12 Mwezi Wa 1 Katikati Hapo Usaili Kisha Post Za Awamu Ya Kwanza Kuitwa Kambini Zikatoka Mwezi Wa 4Hivi majina ya kwenda kweny usaili yanaweza kutoka mwezi huu kweli maana sio kwa kimya hiki!
Daaah kaka ile show sijawahi ipata toka nizaliwe..Shusha nondo kaka๐
Jamaa unawazaga negative sana aiseee nakuona toka mwanzo ahahahahUkienda CCP Usiende Na U JKT Wako Maana Mnajikutaga Majeshi Sana Ndo Maana Wakufunzi Wanawadisi...
POLISI NI NIDHAMU... Huko JKT Mlifundishwa Wepesi Ila Polisi Hayo Mambo Hamna Aisee..
NDO MAANA POLISI WALIONDOA KIGEZO CHA JKT MAANA HAWANA NIDHAMU NA WANAJIKUTA MAJESHI SANA...
Itoshe Kusema Kwamba Wale Wasio na kuelewa wa JKT na wametoka tu kitaa huwa na NIDHAMU sana Wakifika Mafunzoni...
Matanga Mbushi alikupa chaka
Ajira Kupata Ni Mchakato Sana...Kwa ukimyaa huu majina yanaweza toka mwez8 sasa sijui watakua walikua wana maana gan kutangaza izo ajira mapema tang mwez5!!๐ค
Hapana Nakazia Maarifa Mkuu... Mambo Yataenda Fresh TuJamaa unawazaga negative sana aiseee nakuona toka mwanzo ahahahah
Ni kwata ama inakua Kuna nn uko porini hadi wanapaogopa sana duhDaaah kaka ile show sijawahi ipata toka nizaliwe..
Unaishiwa maji hadi unaona kiznguzungu unaanguka kama mzigo...
Wanakuacha gari lipo nyuma kukusanya watu kama hao
bro unavyosema utadhani ni kweli. milioni nne kwa ajili ya upongo, na anayetaka kukupatia naye ni pongo hawa wa mishahara ya laki saba bado pancha kibaaaao!?Hapana Mimi sikupata ila niliwahi kuwalia pesa watu kama 15 kwa nyakati tofauti tofauti hivi ambao nilimpigia simu MATANGA akawa sajili jeshini๐๐...!
Hao jamaa Hadi Leo ni maaskari mwenye cheo kidogo ni sergeant...mmoja amefariki mwanzoni mwa mwaka huu alikuwa anaitwa inspector NYOMBI {R.I.P}
Hao mamwamba niliwapiga pesa wakajiunga na POLISI Hadi Leo wanaamini kuwa Mimi ni mtu mwenye cheo kikubwa sana kumbe nilikuwa natumia fursa ya MATANGA MBUSHI
Mwaka juzi Kuna mmoja kati ya hao alikuwa yupo teyari anipe 4 milioni ili nimuunganishie ndugu yake๐๐๐
Kama nilivyo muunganishia yeye na huyu jamaa ana nyota 2๐๐๐
Nikamwambia tuu ukweli hivi sasa uwezo huo Sina nipo nje ya system ๐๐๐