Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Wewe pata kazi kwanza. Nyie ndio mnaotaka kuingia kazini mnawaza hela tu na kusumbua watu kwa rushwa. Utalipwa kutokana na elimu yako.
Mkuu acha kukurupuka sawa, iko hivi humu kuna mtu alipost jalada linaloonyesha jins polisi wanavyolipwa kulingana na vyeo vyao sasa ikaonekana hayuko sahihi hivyo mwana jf mmoja akasema kuna siku atatoa usahihi kweny hilo swala ambae ndo huyo nmejarbu kumkumbusha. Alaf kwan kujua maslahi yako ni vibaya au dhambi??…..alaf maneno yote hayo yanatoka wap mara sijui unasema rushwa mara sijui nn!!🤔……alaf acha uongo hakuna binadam ambae hawazi pesa hapa dunian unless otherwise awe chizi hata uyo chiz sometimes anaomba pesa.
 
Distance ya kawaida tu jombaa...hayo mambio utazoea tu. Kwanza utatoka uko fit kinoma. Tena kama kuna ex wako alikuw anakuona Fala ukitoka muombe game...utapeleka moto sio wa nchi hii ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha uoga ww[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mishahara hiyo? Kuna kitu nimekiamini kuhusu taasisi ya police, nilikua nasikia tyuu, ila leo nimeaminii.

Sema kwenye posho ndo wanabaruzaa sanaa, woiiiiih
 
Kitu gan icho umekiamin?😂
 
Wakuu natumai tunasubir kwa hamu majina ya usahil hivyo basi mungu atusaidie tuweze kufanikiwa na usahili tupite na tukalitumikie taifa, kwa lonja nilionayo ni kwamba mchongo upo kweny process za ukamilishwaj na hivyo siku yoyote ukiwa tamat pdf itaachiliwa, idadi ya watu wanaohitajika ni 3500+ na ni hivi degree holder wanohitajika kwenda ccp hawatozid80, diploma hawatozid80 na certificate hawatozid80 ni hayo tu wakuu.
 
Vipi kuhusu Form 6 wanahitajika wangap?
 
Wo
Vipi kuhusu Form 6 wanahitajika wangap?
worry out ndugu najua umeombea kupitia form6 ila tuombe mungu kwanza, ni jambo la kufanya mahesabu tu apo kwa kifupi sana chukua 3500 toa degree + diploma + certificate let say watakua ni 300 then toa idadi ya watu500 wa zanzibar then toa tena 300ambao hao tufanye ni wale baba kantuma kimahesabu nafikr itabaki 2400 bac hii ndo itakua idadi ya form4 na form6 ingawaje kwa nilivyoskia form4 hua ndo weng zaid hivyo bas kwa makadirio yang naona form6 watacheza kweny800 ukoo
 
Nakubali mkuu, ngoja tuzidishe dua
 
Mkuu acha kukurupuka sawa, iko hivi humu kuna mtu alipost jalada linaloonyesha jins polisi wanavyolipwa kulingana na vyeo vyao sasa ikaonekana hayuko sahihi hivyo mwana jf mmoja akasema kuna siku atatoa usahihi kweny hilo swala ambae ndo huyo nmejarbu kumkumbusha. Alaf kwan kujua maslahi yako ni vibaya au dhambi??…..alaf maneno yote hayo yanatoka wap mara sijui unasema rushwa mara sijui nn!!🤔……alaf acha uongo hakuna binadam ambae hawazi pesa hapa dunian unless otherwise awe chizi hata uyo chiz sometimes anaomba pesa.
Boe kuwa na mpangilio mzuri wa maneno utakosa msaada hivi hivi unajiona kwa kujibu watu kwa namna yako io,kwakuwa ina kashfa kwa namna flan...
Kama uyu braza mnaemjibu apa kwa wale tulikuwa tunakesha kwenye uzi ule wa "nafasi za ajira za polisi" uyu braza dystonia7 lazima ushakutana nae kwa namna moja ama nyingine...na lonja alizokuwa anatoa ni za ndani na ni reliable kabisa me nimeenda interview tatu za polisi na kila kitu alichosemaga uyu jamaa n vile vile from namna panel list inavyokaa...maswali yanavyokuwa na namna ya wewe kuact infront ya panel list...

Sasa we nyokaa unakuja unamwambia "acha kukurupuka" 😂
nashindwa kukuelewa kwa kweli
 
Back
Top Bottom