Wewe pata kazi kwanza. Nyie ndio mnaotaka kuingia kazini mnawaza hela tu na kusumbua watu kwa rushwa. Utalipwa kutokana na elimu yako.Mkuu vip ulisema utakuja na nots sahihi za mishahara ya polisi na utatuwekea hapa, vip au bdo hujapata mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe pata kazi kwanza. Nyie ndio mnaotaka kuingia kazini mnawaza hela tu na kusumbua watu kwa rushwa. Utalipwa kutokana na elimu yako.Mkuu vip ulisema utakuja na nots sahihi za mishahara ya polisi na utatuwekea hapa, vip au bdo hujapata mkuu?
Vijana mko na motoo wa kuwa policeWakuu, wiki hii kunaweza kuwa na jipya?
Mkuu acha kukurupuka sawa, iko hivi humu kuna mtu alipost jalada linaloonyesha jins polisi wanavyolipwa kulingana na vyeo vyao sasa ikaonekana hayuko sahihi hivyo mwana jf mmoja akasema kuna siku atatoa usahihi kweny hilo swala ambae ndo huyo nmejarbu kumkumbusha. Alaf kwan kujua maslahi yako ni vibaya au dhambi??…..alaf maneno yote hayo yanatoka wap mara sijui unasema rushwa mara sijui nn!!🤔……alaf acha uongo hakuna binadam ambae hawazi pesa hapa dunian unless otherwise awe chizi hata uyo chiz sometimes anaomba pesa.Wewe pata kazi kwanza. Nyie ndio mnaotaka kuingia kazini mnawaza hela tu na kusumbua watu kwa rushwa. Utalipwa kutokana na elimu yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watoe kwanza majina sasahiv alaf wakisema usaili hata mwez wa8 uko fresh tu, tutakaofanikiwa kuwepo tutambee Kwanzaa na majina [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mishahara hiyo? Aaaah mbona bora kupambsna kwinginee. LolVijana jiandaeni kulamba Asali.
Ivoo yan😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Distance ya kawaida tu jombaa...hayo mambio utazoea tu. Kwanza utatoka uko fit kinoma. Tena kama kuna ex wako alikuw anakuona Fala ukitoka muombe game...utapeleka moto sio wa nchi hii ...
Acha uoga ww😂😂Kwa mishahara hiyo? Aaaah mbona bora kupambsna kwinginee. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mna tabu nyie khaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ivoo yan[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mishahara hiyo? Kuna kitu nimekiamini kuhusu taasisi ya police, nilikua nasikia tyuu, ila leo nimeaminii.Acha uoga ww[emoji23][emoji23]
Kitu gan icho umekiamin?😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mishahara hiyo? Kuna kitu nimekiamini kuhusu taasisi ya police, nilikua nasikia tyuu, ila leo nimeaminii.
Sema kwenye posho ndo wanabaruzaa sanaa, woiiiiih
Vipi kuhusu Form 6 wanahitajika wangap?Wakuu natumai tunasubir kwa hamu majina ya usahil hivyo basi mungu atusaidie tuweze kufanikiwa na usahili tupite na tukalitumikie taifa, kwa lonja nilionayo ni kwamba mchongo upo kweny process za ukamilishwaj na hivyo siku yoyote ukiwa tamat pdf itaachiliwa, idadi ya watu wanaohitajika ni 3500+ na ni hivi degree holder wanohitajika kwenda ccp hawatozid80, diploma hawatozid80 na certificate hawatozid80 ni hayo tu wakuu.
worry out ndugu najua umeombea kupitia form6 ila tuombe mungu kwanza, ni jambo la kufanya mahesabu tu apo kwa kifupi sana chukua 3500 toa degree + diploma + certificate let say watakua ni 300 then toa idadi ya watu500 wa zanzibar then toa tena 300ambao hao tufanye ni wale baba kantuma kimahesabu nafikr itabaki 2400 bac hii ndo itakua idadi ya form4 na form6 ingawaje kwa nilivyoskia form4 hua ndo weng zaid hivyo bas kwa makadirio yang naona form6 watacheza kweny800 ukooVipi kuhusu Form 6 wanahitajika wangap?
Nakubali mkuu, ngoja tuzidishe duaWo
worry out ndugu najua umeombea kupitia form6 ila tuombe mungu kwanza, ni jambo la kufanya mahesabu tu apo kwa kifupi sana chukua 3500 toa degree + diploma + certificate let say watakua ni 300 then toa idadi ya watu500 wa zanzibar then toa tena 300ambao hao tufanye ni wale baba kantuma kimahesabu nafikr itabaki 2400 bac hii ndo itakua idadi ya form4 na form6 ingawaje kwa nilivyoskia form4 hua ndo weng zaid hivyo bas kwa makadirio yang naona form6 watacheza kweny800 ukoo
✊✊Nakubali mkuu, ngoja tuzidishe dua
Boe kuwa na mpangilio mzuri wa maneno utakosa msaada hivi hivi unajiona kwa kujibu watu kwa namna yako io,kwakuwa ina kashfa kwa namna flan...Mkuu acha kukurupuka sawa, iko hivi humu kuna mtu alipost jalada linaloonyesha jins polisi wanavyolipwa kulingana na vyeo vyao sasa ikaonekana hayuko sahihi hivyo mwana jf mmoja akasema kuna siku atatoa usahihi kweny hilo swala ambae ndo huyo nmejarbu kumkumbusha. Alaf kwan kujua maslahi yako ni vibaya au dhambi??…..alaf maneno yote hayo yanatoka wap mara sijui unasema rushwa mara sijui nn!!🤔……alaf acha uongo hakuna binadam ambae hawazi pesa hapa dunian unless otherwise awe chizi hata uyo chiz sometimes anaomba pesa.