The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Tatizo la Tanzanian sio baina ya chadema na CCM, ni raia vs viongozi wa serikali kuna haja ya kufanya referendum kura za maoni ya mabadiliko ya katiba nzima sio majadiliano tu.Ndugu wanabodi mimi naomba kupendekeza kama kunaweza kupatikana taasisi yoyote iwe ndani au nje ya nchi yenye kuheshimika na kuaminika isiyo na upande wowote basi tuialike iwaite mezani serikali na chadema ili kuondoa hizi chokochoko zinazowndelea.
Serikali inaweza kudharau na kuona kana kwamba hawa wanaoongea ongea ni kakikundi kadogo ambako hakana nguvu sana hivyo katadhibitiwa tu.
Nikumbushe tu kwamba hata mbuyu ulianza kama mchicha inaweza kuwa kweli ni wachache lkn kile wanacho kitaka kina mantiki kwa kiwango gani?
Ni muhimu sana kupunguza hiyo tension kwa kuongea kuliko kutumia mbavu na maguvu.
Nakumbushia hata mapinduzi ya Tunisia yalianza na kijana mmoja aliyechomewa toroli lake.
Nimalizie na busara za mwl Nyerere alipoambiwa kwamba kwa nini anaondoka wakati wasiomtaka ni wachache tu!?
Alijibu NAONDOKA KWA SABABU SITAKI KUSUBIRI WANAONIPINGA WAWE WENGI.
Symposium! 🙏TLS wametangaza uwepo wa kongamano la kitaifa tarehe 03/05/2025. Nashauri vyombo vya habari na wananchi wakereketwa waalikwe kwa mtindo kama ule wa ITV au zamani KITIMOTO.
TEC matapeli haoKweli asee, naunga mkono hoja, napendekeza TEC/CCT walibebe hili jambo
Tatizo la viongozi wa dini pia wamegawanyika sana inafaa sana taasisi huru isiyo na maslahi upande wowote inaloliona tatizo kutokea angle ya njeViongozi wa dini
Basi BakwataTEC matapeli hao
Naongelea huu mkwamo wa uchaguzi ila kwa upana zaidi nakubaliana na wwTatizo la Tanzanian sio baina ya chadema na CCM, ni raia vs viongozi wa serikali kuna haja ya kufanya referendum kura za maoni ya mabadiliko ya katiba nzima sio majadiliano tu.
Taasisi nyingi za kidini zimeshatoa hukumu hivyo zimepoteza credibilityBasi Bakwata