Kina nani hao unawazungumziawakishakaa kwenye vikao waanze kudai posho, waende mahakamani na kesi wakishindwa walipe gharama za kesi
Kwani mafwele kawa mpatanishi siku hizi!?Mimi napendekeza polisi wateuliwe ili kuwa wapatanishi na waitwe chombo huru Cha upatanisho na kiongozwe na kamanda mafwele
Mwisho wa siku unachopaswa kujua huwa kiongozi wa kisiasa ni mtumwa wa waliomchagua na ambao hawajamchagua usijekushangaa hiki nilichoshauri ndio kikawa ufumbuziNdo sio lazima awasikilize nyie.