S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 5,419 Reaction score 13,531 Apr 23, 2025 #61 Mimi napendekeza polisi wateuliwe ili kuwa wapatanishi na waitwe chombo huru Cha upatanisho na kiongozwe na kamanda mafwele
Mimi napendekeza polisi wateuliwe ili kuwa wapatanishi na waitwe chombo huru Cha upatanisho na kiongozwe na kamanda mafwele
T The Phylosopher JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 2,471 Reaction score 3,768 Apr 23, 2025 Thread starter #62 eddy said: wakishakaa kwenye vikao waanze kudai posho, waende mahakamani na kesi wakishindwa walipe gharama za kesi Click to expand... Kina nani hao unawazungumzia
eddy said: wakishakaa kwenye vikao waanze kudai posho, waende mahakamani na kesi wakishindwa walipe gharama za kesi Click to expand... Kina nani hao unawazungumzia
T The Phylosopher JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 2,471 Reaction score 3,768 Apr 23, 2025 Thread starter #63 Sappire said: Mimi napendekeza polisi wateuliwe ili kuwa wapatanishi na waitwe chombo huru Cha upatanisho na kiongozwe na kamanda mafwele Click to expand... Kwani mafwele kawa mpatanishi siku hizi!?
Sappire said: Mimi napendekeza polisi wateuliwe ili kuwa wapatanishi na waitwe chombo huru Cha upatanisho na kiongozwe na kamanda mafwele Click to expand... Kwani mafwele kawa mpatanishi siku hizi!?
T The Phylosopher JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 2,471 Reaction score 3,768 Apr 23, 2025 Thread starter #64 MamaSamia2025 said: Ndo sio lazima awasikilize nyie. Click to expand... Mwisho wa siku unachopaswa kujua huwa kiongozi wa kisiasa ni mtumwa wa waliomchagua na ambao hawajamchagua usijekushangaa hiki nilichoshauri ndio kikawa ufumbuzi
MamaSamia2025 said: Ndo sio lazima awasikilize nyie. Click to expand... Mwisho wa siku unachopaswa kujua huwa kiongozi wa kisiasa ni mtumwa wa waliomchagua na ambao hawajamchagua usijekushangaa hiki nilichoshauri ndio kikawa ufumbuzi