Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka ganiMazengo kuna ticha alikuwa anaitwa Unyamaunyama dah huyu mnyakyusa alikuwa na mkwara sana
Mkuu huyu Jigge sio yule alifukuzwa govt school akaenda Mwembeni secondary pale Musoma mjini?Katika shule/chuo hakosekani mwalimu msumbufu na ambaye huwafuatilia sana wanafunzi hata ktk mambo madogo madogo na kuwapa adhabu za ajabu ajabu.
Leo nataka tuwakumbuke walimu hawa pamoja na kujikumbusha vituko walivyowahi kuvifanya.
Mimi shuleni kwetu Mara Sekondari kulikuwa na mwalimu mmoja aliyeitwa Jigge. Basi siku moja kuna wanafunzi walitoroka kwenda mjini bila ruhusa. Na kibaya zaidi, walipokuwa huko mjini wakafanya fujo na kuharibu mali za wananchi.
Taarifa zao zikafika shuleni. Ilikuwa jioni na kiza kilikuwa kimeanza kukolea. Mwalimu Jigge akapiga kengere. Wanafunzi wote tuliokuwepo shuleni tukakusanyika bwaloni na akaanza kuchuka roll call.
Ili kumkomesha mwalimu huyu, pamoja na kuwanusuru wale wanafunzi 'wahalifu' waliokuwa wamefanya tukio mjini, wanafunzi wakapanga kuzima umeme main switch na kumpopoa kwa mawe. Ghafla tu, umeme ulipozimika, mwalimu alichomoka kama mshale na kutokomea kizani. Wanafunzi walimtupia mawe lakini, kwa ile speed aliyochomoka, hakuna jiwe lililompata. Ana bahati sana.
Huyu jamaa ni mnoko hatari anaendana na jina lake... Alinifundisha maths alafu anapenda sana mpira wa miguu, ni mrefu hivi mwembamba.Israel nkongo mujuni tambaza high school!
sisi kulikua na ticha anaitwa abnormal kweli alikua ni abunomoKatika shule/chuo hakosekani mwalimu msumbufu na ambaye huwafuatilia sana wanafunzi hata ktk mambo madogo madogo na kuwapa adhabu za ajabu ajabu.
Leo nataka tuwakumbuke walimu hawa pamoja na kujikumbusha vituko walivyowahi kuvifanya.
Mimi shuleni kwetu Mara Sekondari kulikuwa na mwalimu mmoja aliyeitwa Jigge. Basi siku moja kuna wanafunzi walitoroka kwenda mjini bila ruhusa. Na kibaya zaidi, walipokuwa huko mjini wakafanya fujo na kuharibu mali za wananchi.
Taarifa zao zikafika shuleni. Ilikuwa jioni na kiza kilikuwa kimeanza kukolea. Mwalimu Jigge akapiga kengere. Wanafunzi wote tuliokuwepo shuleni tukakusanyika bwaloni na akaanza kuchuka roll call.
Ili kumkomesha mwalimu huyu, pamoja na kuwanusuru wale wanafunzi 'wahalifu' waliokuwa wamefanya tukio mjini, wanafunzi wakapanga kuzima umeme main switch na kumpopoa kwa mawe. Ghafla tu, umeme ulipozimika, mwalimu alichomoka kama mshale na kutokomea kizani. Wanafunzi walimtupia mawe lakini, kwa ile speed aliyochomoka, hakuna jiwe lililompata. Ana bahati sana.
Hahaha sasa uji chupa mbili zote za nini halafu cha ajabu ilikuwa sifongo, boarding mambo yenu siyo!yani nakumbuka Ashira kulikuwa na mwalimu wa kike anaitwa mwalimu Mbele anasura ngumuje sasa alikuwa hapendi watu kuvumisha chakula dom na wadada weng wanapenda kwenda kulia dom akikukamata yani hafu alikuwa ana roho ngumu
kuna siku marafki zangu walivusha uji kila mtu ana chupa mbili aliwaambia wanywe wote na haukuwa na sukari yani chuoni sasa kulikuwa kuna Dr anaitwa Saanane alikuwa anafundisha proposal ni mkali unaenda kupresent unatetemeka mpaka basi Dr yule alinipa pressure hadi semister inaisha ckuamini aise kila mtu alikuwa ana mwogape
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]the same case happened at Tosamaganga.Katika shule/chuo hakosekani mwalimu msumbufu na ambaye huwafuatilia sana wanafunzi hata ktk mambo madogo madogo na kuwapa adhabu za ajabu ajabu.
Leo nataka tuwakumbuke walimu hawa pamoja na kujikumbusha vituko walivyowahi kuvifanya.
Mimi shuleni kwetu Mara Sekondari kulikuwa na mwalimu mmoja aliyeitwa Jigge. Basi siku moja kuna wanafunzi walitoroka kwenda mjini bila ruhusa. Na kibaya zaidi, walipokuwa huko mjini wakafanya fujo na kuharibu mali za wananchi.
Taarifa zao zikafika shuleni. Ilikuwa jioni na kiza kilikuwa kimeanza kukolea. Mwalimu Jigge akapiga kengere. Wanafunzi wote tuliokuwepo shuleni tukakusanyika bwaloni na akaanza kuchuka roll call.
Ili kumkomesha mwalimu huyu, pamoja na kuwanusuru wale wanafunzi 'wahalifu' waliokuwa wamefanya tukio mjini, wanafunzi wakapanga kuzima umeme main switch na kumpopoa kwa mawe. Ghafla tu, umeme ulipozimika, mwalimu alichomoka kama mshale na kutokomea kizani. Wanafunzi walimtupia mawe lakini, kwa ile speed aliyochomoka, hakuna jiwe lililompata. Ana bahati sana.
Mpande alikuwa na mkwara hatari ,nakumbuka enzi za mchakamchaka wa saa kumi na moja alfajiri siku moja alipigwa ngumi moja na mwanafunzi alipomkurupua kwenye usingiziMoshi tech pale kuna ticha alikuwa anaitwa MPANDE a.k.a MP,ticha alikuwa na mkwara sana huyu
huyo muhuni ni habar nyingine kabisa wanafunz wa ndanda boys(ndanda jkt ) wamekuwa wapole kama wamemwagiwa maji ya baridi. miongon mwa event kubw aliyofanya ni kumfukuza mwanafunz ambaye alibakiza mitihan mi3 (PCM) kwa ajili ya wizi.Morega Mongate a.k.a DUDE,alikuwa second muster enzi hzo Mara sec huko musoma mara! Sa hv yupo ndanda sec mtwara.nahisi kwa shule zilizokuwa na walimu wanoko kwa tanzania nzima huyu jamaa bdo angekuwa kiranja wao.toka nipo pale 2004 up to 2007 wanafunzi walisha fanya kila mbinu kama migomo kila baada ya miez kadhaa kwa miaka yote,kumvizia kumua,kumpiga mawe,lakini watukumuweza!.jamaa kama komando kipensi
Ndio yeye mkuu. Alifukuzwa serikalini baada ya kumuadhibu mwanafunzi kikatili....alisimama juu ya mgongo wa mwanafunzi. Picha hiyo ilitoka kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la Majira. Baadaye aliitwa kujieleza kwa kitendo kile ndipo aliposhindwa kutoa utetezi wa kutosha na hatimaye kufukuzwa kazi serikalini.Mkuu huyu Jigge sio yule alifukuzwa govt school akaenda Mwembeni secondary pale Musoma mjini?