Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Mwalimu JAy Jay pale Madenge Primary school(Temeke)Mikoroshini!!!Ukiingia adhabu zote za fimbo shule ilikuwa inampa yeye achapee!!!!
 
Mrs Msela.... dadeki walahi, RIP
Forodhani Secondary!

Dah namkumbuka saaaana!sikuwa najua kama alifariki!!Madam Msela!My Dear Bwoiiiiii......floor ya Kwanza enzi hizo form 1 na form 2
 
Pale Tumaini Dar es Salaam, Department ya Masscom kuna kichaa mmoja anaitwa Mdegela [emoji23][emoji23] huyu jamaa aise ni mnoko Kama mwanamke alieachika na bwana wake.
 
Sijui kama amefariki, lakini kitendo cha kumchukia mtoto wa mwanamke mwingine kiasi hicho alafu ni mtoto wa kike ni laana kubwa mbele ya Mola! I'm sure atakuwa amekufa tu!
 
Uyu mdegela mwili wake mnene?
 
Mwalimu Ambonisye a.k.a broo Amboo ...IYUNGA TECH.....huyuu ilkuwa ukiingiaa 18 zake lazma akupiege pa ..
 
Mwalimu juhudi sunamie shule nyalugunga.. dar huyu mtu alikuwa nouma zaidi ya noumaaaaaaa
 
Madam Mahai Wa Dumila Sec, Pia kulikuwa na Benjamin Mwilapwa wa ILONGA TC
 
Back
Top Bottom