Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Mwalimu Bachubila (RUBA) wa Sekondari ya Mara alikuwa moto wa kuotea mbali hasa linapokuja suala la mwanafunzi kukutwa hajachomkea sharti...alikuwa akitembea na kiboko masaa 12.
 
mwalim Gusi, shule ya msingi Rulenge Ngara Kagera, Mungu anakuona ulivyo kua unajidai na kiswahili chako cha pwani, na kupiga viboko shule nzima. Tubu utasamehewa.
 
MwL. Gwalu huyu wakike looo akikutana na Mwl magochi utaumia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu huyu Jigge sio yule alifukuzwa govt school akaenda Mwembeni secondary pale Musoma mjini?
 
sisi kulikua na ticha anaitwa abnormal kweli alikua ni abunomo
 
Hahaha sasa uji chupa mbili zote za nini halafu cha ajabu ilikuwa sifongo, boarding mambo yenu siyo!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]the same case happened at Tosamaganga.
 
huyo muhuni ni habar nyingine kabisa wanafunz wa ndanda boys(ndanda jkt ) wamekuwa wapole kama wamemwagiwa maji ya baridi. miongon mwa event kubw aliyofanya ni kumfukuza mwanafunz ambaye alibakiza mitihan mi3 (PCM) kwa ajili ya wizi.
 
Mkuu huyu Jigge sio yule alifukuzwa govt school akaenda Mwembeni secondary pale Musoma mjini?
Ndio yeye mkuu. Alifukuzwa serikalini baada ya kumuadhibu mwanafunzi kikatili....alisimama juu ya mgongo wa mwanafunzi. Picha hiyo ilitoka kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la Majira. Baadaye aliitwa kujieleza kwa kitendo kile ndipo aliposhindwa kutoa utetezi wa kutosha na hatimaye kufukuzwa kazi serikalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…