kutokana na mwonekano wake(urefu&ukomavu) akapewa jna la okonkwo na hakuwa na maskhara na wanafunz. but alshafarkJamani naona huyu Okwonko wa Kibasila amepata kura nyingi. Alikuwa noumer sana ati? ... Au sio?
musoma tech(alliance) kulikuwa na mwl.mikomangwa alikuwa ni noma.. lakini alikomeshwa baada kupigwa mimba mabinti zake wawili
Mwalimu Mgimwa--Mkwawa High School. Huyu mwalimu alikuwa discipline master. Ni kimwalimu fulani kimbilikimo hivi--kifupifupi. Lakini hiyo shughuli yake ilikuwa baraaaa!
Basi siku moja, kiMgimwa na na Mwalimu mmoja wa Maths anaitwa Mwaipaja, akaamua kuzama eneo moja linaitwa Makanyagio--hapa ndipo wanafunzi watoro walipokuwa wakienda kujificha wakinywa pombe moja ya Kihehe inaitwa ULANZI.
Basi siku hiyo Mgimwa na swahiba wake Mwaipaja (huyu naye alikuwa mnoko sana) wakaamua kuzama huko Mkanyagio na kuwaibua hao 'wahalifu' wakinywa ulanzi. Wakakamatwa wazima wazima, na kuswagwa kama kondoo hadi assembly ground. Walichapwaje!!!!!!!!!!!!!! Walichapwa mpaka wakajuta kusoma shule. Chezea Mgimwa wewe!
Ngui aka baba kadoda

Hahaha! Nakumbuka jinsi Ngui (RIP) alivyokuwa akituzuia tusiende Makanyagio lakini tukawa hatumuelewi. Maandazi ya makanyagio yalivyokuwa matamu vile nani angemuelewa? Thubutu!
Basi siku moja baada ya kutubania sana tusitoke bwenini (Shaaban Robert East), tukaamua tuchume mahindi shambani mwake tukaenda kuyachomea DH. Chezea Mkwawa Complex wewe!
nafikiri mwl Makwaya na mama masawe wa mkwawa pia walikuwa na huu unoko
Mazengo kuna ticha alikuwa anaitwa Unyamaunyama dah huyu mnyakyusa alikuwa na mkwara sana