Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

NJANGA,KANTALAMBA S.S,alikuwa second master,alikuwa na machale balaa,kila mkibuni njia mpya ya kutorokea anawabamba kiulainii,dah,chanji ndo kijiwe chake ilhali wanafunzi ndo wanaponea!
 
aaaaaaah aaaaaaahaaaaaa ... kuna sku almkmbza mwanafunz mpaka barabaran kutokea shulen. sku nyngne mwanafunz alkmbzwa kuzunguka shule yote. alpoona mwalmu bado yupo akapanda ukuta na kutokea muhmbl

mambo ya shift kuingia mchana kwetu magomeni ila ndo wa mwisho kufika shule nikifika nakaa masaa mawili namshtua msela wangu 'vip umehamia bweni' akikataa tu tunaondoka sasa siku moja wenyewe tunajiona wamba tukatoka geti kuu moja kwa moja tukakutana nae uso kwa uso kilichotokea nyumbani walikuwa mashahidi
 
Mama Nkya Jangwani sec na Sista Mfuse Benjamin Mkapa.
Hao ukiwakuta getini lazima wakuuzie kesi.
Cc; kichunafk
 
Last edited by a moderator:
Kuna mwakaringa a.k.a kibana wa kibasila enzi izo npo pale 2001-2004 usipochomekea shati lazima akubane,siku moja alipigwa getini unoko wote ukaisha
 
alikuwa mfupi..ss sijui ndo huyo huyoo

Mie hata sijawahi kumuona ila nasikia ni mwalimu mzuri sana wa Biology na Chemistry. Sasa hivi kajenga shule yake maeneo ya Gongolamboto inaitwa Mkandawire Sec School.
 
Kuna siku nilikutana nacho chuo eti kinanitabasamia mie niliweka wa mbuzi kama sikjui
kjinga sana....

hahahaha! inaonekana hicho kimwalimu kilikuwa kikuda sana i see!
 
Mwalimu Candy wa Thirsty International Academy alikuwa akikupata na kosa siku hiyo hupewi 'blue band' ya kupaka kwenye mkate!! :israel::israel::israel:

heee! adhabu zingine za kikatili kama hizi bhana sijui tuziweke kundi gani! huyo teacher mkuda sana.
 
Mwalimu Abdu washule ya msingi Keko Magurumbasi. Dah huyu mwalimu alikuwa noma kweli, yaani alinifanya niwe naamka saa kumi maana dah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mkuu huyo morega ni shidaaaaa ndanda boys mbona tulikomaaa....bahati nzuri amehamishiwa pale c tunaingia form6...xo tulienda nae kibishi...!

kwa maoni yangu huyu jamaaa ndo raisi wa walimu wanoko Tanzania

du, kama umempa cheo hicho huyo teacher kwa kweli ni noumer sana!
 
Last edited by a moderator:
Mwl Mushi mchicha, Sabasaba primary school morogoro.
Na mwingira wa Kwiro boys mahenge
 
Wajadi jitewute bila kumsahau enzi hizo captain mkisi second master
 
Mzee mzima.....KINJINO!

Uyu ticha kipindi chake mafront-bencher tuliisoma namba. Alikuwa anashusha risasi za mate zikisindikizwa na viparticle vyeusi na vya njano vyenye harufu ya kumtoa mende chooni. Mnoko aibu.
 
Mzee mzima.....KINJINO!

Uyu ticha kipindi chake mafront-bencher tuliisoma namba. Alikuwa anashusha risasi za mate zikisindikizwa na viparticle vyeusi na vya njano vyenye harufu ya kumtoa mende chooni. Mnoko aibu.

Hahahahaha usinivunje mbavu zangu mie
 
Back
Top Bottom