Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Namkumbuka mwalinu ndossy...
Muhimbili primary. Akikohoa tu shule nzima kimyaaa.korokodilo....
ndio tusi lake. Mkaliiii aisee. Fimbo zake akikupiga lazma mikono upitishe kwenye matundu ua ukuta ka umekumbatia ukuta Ila alisaidia sana kufaulu
 
Sisi tulikuta kila sehemu pale Mazengo pameandikwa "Dudu **#&# (tusi)" Yaani huyu nashukuru Mungu sikumkuta.

Sisi tulimkuta Dungu na Msasa. Msasa akikuta na kosa lolote, una hali mbaya. Ila darasani unaweza kumchezea sharubu kabisa, mhh, mkivuka tu mlango wa darasa, anawewe. Darasani alikuwa Mpole sana.
Dungu akikuta na kosa dogo, umelia. Akikukuta na kosa la kufukuzwa shule, anakusema mbaya tena mbele za Waalimu, ila hakutaji jina na haendi kushtaki ufukuzwe.

Pia Mlokole mmoja anaitwa Mwakyembe, kichaa wa Mahesabu sana ila Mkorofi mno.

....

Ha ha ha Mkuu kama ndo huyo Mwl Dungu comb ya PCB pale shy bush Shinyanga sec ilikuwa balaa na Mwingine aliitwa Ndege hapa bora ugongwe na semi !!!!
 
Mzee mzima.....KINJINO!

Uyu ticha kipindi chake mafront-bencher tuliisoma namba. Alikuwa anashusha risasi za mate zikisindikizwa na viparticle vyeusi na vya njano vyenye harufu ya kumtoa mende chooni. Mnoko aibu.

hahaha! bila shaka huyu alikuwa smoker mzuri sana.
 
Ngonyani teacher wa jamhury secondary school ipo dodoma...
Alikuwa mnoko huyoooo na anakata mabanzi ni balaa.
 
Kwa udsm...kuna jamaa anaitwa dr.gamba...yupo conas,ni mnyama balaa. Kwa sekondari,..miaka ya 2002 kurudi nyuma njombe sec. School aka njoss,kuna mwl. Alikuwa anaitwa kasalile mwingne tyson(rip) walikuwa katili mbayaaa..
 
yani nakumbuka Ashira kulikuwa na mwalimu wa kike anaitwa mwalimu Mbele anasura ngumuje sasa alikuwa hapendi watu kuvumisha chakula dom na wadada weng wanapenda kwenda kulia dom akikukamata yani hafu alikuwa ana roho ngumu kuna siku marafki zangu walivusha uji kila mtu ana chupa mbili aliwaambia wanywe wote na haukuwa na sukari yani chuoni sasa kulikuwa kuna Dr anaitwa Saanane alikuwa anafundisha proposal ni mkali unaenda kupresent unatetemeka mpaka basi Dr yule alinipa pressure hadi semister inaisha ckuamini aise kila mtu alikuwa ana mwogape

Hahah...dr.sa8 bado anatupelekesha huku,utaskia comm mboooov kabisa!lol
 
mwl donge mwenge high xul,mwl kitoko tarime high xul,mwl malilika korogwe primary xul kahama,mwl doto old shy

Kitoko Mk*ndu alikuwa noma sanaaaa pamoja na mwenzie Mwl. Gamba Tarime Sec hiyoooo.
 
Hujakosea ila umemsahau Kashushula

Umechanganya madesa, kashushula alikuwa wa pamba sec huyu ni wa mwanza sec
kwanza kashushua hata hakuwa mnoko
alikuwa mkali ili tusome shule za mjini ndo inatakiwa hivo la sivo
kila mwaka shule itakuwa ni 4 na 0 tu....
 
Mama Nkya Jangwani sec na Sista Mfuse Benjamin Mkapa.
Hao ukiwakuta getini lazima wakuuzie kesi.
Cc; kichunafk

hahahahh, aisee mama nkya noma sana.
Kuna siku mama matee alinibamba niko na shati nyeupe ila si ya shule. Ananiita, nkampimia nataman nimkimbie na ile miguu yake imevimba najua asingenikimbiza ila ndo hvyo nikaemda.
Bila kumsahau uncle mbowe (Rip)
 
Last edited by a moderator:
mr katunzi huyu alikuwa mwalim wa michezo, msipoenda ground anakuja kuwafata kwa fimbo na kidimbichi huyu alikuwa mkamataji simu maarufu kilakala secondary school bila kumsahau headmistress mama mkiramweni
 
hahahahh, aisee mama nkya noma sana.
Kuna siku mama matee alinibamba niko na shati nyeupe ila si ya shule. Ananiita, nkampimia nataman nimkimbie na ile miguu yake imevimba najua asingenikimbiza ila ndo hvyo nikaemda.
Bila kumsahau uncle mbowe (Rip)

RIP Mr Mbowe, ilikuwa ukimkuta anapiga Colabo na Mama Nkya lazima ukae.....hahahaaa wakikukuta huna kosa shukuru.
Super Tall nae unamkumbuka? Full unoko.
 
Mwalimu Mgimwa--Mkwawa High School. Huyu mwalimu alikuwa discipline master. Ni kimwalimu fulani kimbilikimo hivi--kifupifupi. Lakini hiyo shughuli yake ilikuwa baraaaa!
Basi siku moja, kiMgimwa na na Mwalimu mmoja wa Maths anaitwa Mwaipaja, akaamua kuzama eneo moja linaitwa Makanyagio--hapa ndipo wanafunzi watoro walipokuwa wakienda kujificha wakinywa pombe moja ya Kihehe inaitwa ULANZI.

Basi siku hiyo Mgimwa na swahiba wake Mwaipaja (huyu naye alikuwa mnoko sana) wakaamua kuzama huko Mkanyagio na kuwaibua hao 'wahalifu' wakinywa ulanzi. Wakakamatwa wazima wazima, na kuswagwa kama kondoo hadi assembly ground. Walichapwaje!!!!!!!!!!!!!! Walichapwa mpaka wakajuta kusoma shule. Chezea Mgimwa wewe!

Kilikuwa kinataka misifa kwa mademu, kilinitoa nisisome geograph, afu ati kinafundisha huku kimekaa juu ya meza, nilisusa somo lake lakini nilifaulu vizuri
 
RIP Mr Mbowe, ilikuwa ukimkuta anapiga Colabo na Mama Nkya lazima ukae.....hahahaaa wakikukuta huna kosa shukuru.
Super Tall nae unamkumbuka? Full unoko.

hahahha, mr kunga mzee wa makonzi. Pole yao sana kwa watu wa biashara. Mie nlisoma sayansi
 
Back
Top Bottom