Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Kitu Hitler!!! Sengerema na Geita Sec, Second Master - Kikome Geita Sec miaka ya 90's
 
mwaipaja ndiye yule alikuwa mwanariadha wa makongoro west?

No. Mwaipaja ni mwalimu mmoja hivi mbabe aliwahi kuwa Senior Academic Master (SAM). Alikuwa akiwakuta wanafunzi wako assembly muda wa vipindi, hata kama wako na Headmaster, anawaambia waingie darasani haraka sana! Hahahahaha! Jamaa alikuwa mbabe hakuna mfano na alikuwa akijiamini mno!
 
Primary- Mwalimu Walisimba, mnoko huyu balaa
O-level- Kilawa B., huyu ni aibu
A-level- Mama Kitembe, Man Shida na Kihongosi, hawa dunia ilikua salama bila uwepo wao,
Chuo- Maseminar leader karibu wote wakiongozwa na Sabato Nyamsenda, Prof. Nyirabu alibana nusu nicarry.
 
Mwanza sec kulikuwa na ki discipline master hicho pambaffff kabisa
kilikuwa kinanikera yani kuwa discipline anajiona kama vile afisa elimu
namchukia hadi kesho alikuwa na unoko wa kifamba sana
anaitwa mkumbo

kile kijamaa kijinga sana kimtu kifupi afu kinakera mbaya bora kiliienda kusoma..kilikua kinaboa
 
Hee, kumbe na Mkandawile (yule mwalimu maarufu wa tuition ,Dar) naye alikuwa mnoko? Jamani acheni utani....mwalimu anayekata shule vile anapata wapi muda wa kufanya unoko? Au huyu ni Mkandawile mwingine?

alikuwa mfupi..ss sijui ndo huyo huyoo
 
Morega Mongate a.k.a DUDE,alikuwa second muster enzi hzo Mara sec huko musoma mara! Sa hv yupo ndanda sec mtwara.nahisi kwa shule zilizokuwa na walimu wanoko kwa tanzania nzima huyu jamaa bdo angekuwa kiranja wao.toka nipo pale 2004 up to 2007 wanafunzi walisha fanya kila mbinu kama migomo kila baada ya miez kadhaa kwa miaka yote,kumvizia kumua,kumpiga mawe,lakini watukumuweza!.jamaa kama komando kipensi

Dah!acha kabisa, mongate ni mkosi,nimezinguana nae sana,sana,nadhani kati ya wanafunzi ambao hatawasahau nimo. Ila siku hizi ni mshkaji wangu,nishakutana nae hapa dar zaidi ya mara 3 hadi akanipa namba yake ya sim akaniambia yuko huko kusini. MOREGA MONGATE.
 
Buluba sekondary -mgaliya.
Huyu jamaa alikuwa mwl wa taaluma na mazingira. Basi ilikuwa akikuona umekata jani iwe kwny mti au ua,adhabu yake ilikuwa kulirudishia km lilivyokuwa na ukishindwa ni bonge la adhabu. Na ukijidai kukimbia,anakukimbiza hd akukamate.

Chuoni,SAUT mwanza alikuwepo jamaa mmoja mashaka,alikuwa ni mijisifa ya kijinga. Alikuwa anatunga mitihani migumu ilmradi akamate nusu ya darasa. Yaan akiingia darasan anafundisha kwa vitisho.
 
kile kijamaa kijinga sana kimtu kifupi afu kinakera mbaya bora kiliienda kusoma..kilikua kinaboa
Kuna siku nilikutana nacho chuo eti kinanitabasamia mie niliweka wa mbuzi kama sikjui
kjinga sana....
 
mr Tilya wa uru sec yani alikuwa tatizo.
mr Mbarouk wa st.matthews ndo shida zaidi,mwngne mr.Ramadhani tiamaji matthews nae....o level st.matthew's ni mr. Peter mnoko atari na mr.Kaijage loh ctawasahau hawa watu kwa waliyonitendea mpk nimefika huku nilipo
 
Mwalimu Candy wa Thirsty International Academy alikuwa akikupata na kosa siku hiyo hupewi 'blue band' ya kupaka kwenye mkate!! :israel::israel::israel:
 
Benard Ngozye Azania

aaaaaaah aaaaaaahaaaaaa ... kuna sku almkmbza mwanafunz mpaka barabaran kutokea shulen. sku nyngne mwanafunz alkmbzwa kuzunguka shule yote. alpoona mwalmu bado yupo akapanda ukuta na kutokea muhmbl
 
Morega Mongate a.k.a DUDE,alikuwa second muster enzi hzo Mara sec huko musoma mara! Sa hv yupo ndanda sec mtwara.nahisi kwa shule zilizokuwa na walimu wanoko kwa tanzania nzima huyu jamaa bdo angekuwa kiranja wao.toka nipo pale 2004 up to 2007 wanafunzi walisha fanya kila mbinu kama migomo kila baada ya miez kadhaa kwa miaka yote,kumvizia kumua,kumpiga mawe,lakini watukumuweza!.jamaa kama komando kipensi

anaitwa morega saimoni mongate ..amekuja ndanda akawa yy ndo headmaster ........!@mkuu huyu mwalimu ni shidaaa

nimemaliza ndanda boys mtwara 2013...,nampata xanaaa huyu jamaaa yaaani ni zaidiii ya noumer

alimfukuza mwanafunzi katikati ya necta form 6 ..I mean mwanafunzi PCM kafanya mitihani 4 tuu paper one, then kafukuzwa shule .... sababu wizi
.yaani jamaa ni katiliiiiiiiiiiiiii

by the way nashukuru kupita chini ya mikono yake now nipo chuo nakula BOOM..........!

ndanda boys ........1.
 
Last edited by a moderator:
Huyu Morega Mongate nilimwacha pale Mara Sec. Aisee kama ulivyosema alikua mnoko kupindukia. Kwao ni maeneo ya njiapanda ya kwenda mwisenge na mjini

mkuu huyo morega ni shidaaaaa ndanda boys mbona tulikomaaa....bahati nzuri amehamishiwa pale c tunaingia form6...xo tulienda nae kibishi...!

kwa maoni yangu huyu jamaaa ndo raisi wa walimu wanoko Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Dah!acha kabisa, mongate ni mkosi,nimezinguana nae sana,sana,nadhani kati ya wanafunzi ambao hatawasahau nimo. Ila siku hizi ni mshkaji wangu,nishakutana nae hapa dar zaidi ya mara 3 hadi akanipa namba yake ya sim akaniambia yuko huko kusini. MOREGA MONGATE.

huyo jamaa hadi maafisa elimu wanamuogopaaa
 
Back
Top Bottom