sylivester makongo
JF-Expert Member
- Jun 1, 2017
- 215
- 82
mwl. mkulima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hushibi wwMazengo kuna ticha alikuwa anaitwa Unyamaunyama dah huyu mnyakyusa alikuwa na mkwara sana
Dr Elinami Minja wa UDBS,(UDSM)
Uliza yoyote anaefanya B.Com!Huyu alikuwa na unoko gani mkuu?
Dah! Mtulizie mkumbo banaMwanza sec kulikuwa na ki discipline master hicho pambaffff kabisa
kilikuwa kinanikera yani kuwa discipline anajiona kama vile afisa elimu
namchukia hadi kesho alikuwa na unoko wa kifamba sana
anaitwa mkumbo
Dah mkuu rolla, umenikumbusha mbali mikomangwa akikusonta na kale kakidole kake kalikopinda na kakidevu....ujue umepatwa siku hiyo. Discipline mastermusoma tech(alliance) kulikuwa na mwl.mikomangwa alikuwa ni noma.. lakini alikomeshwa baada kupigwa mimba mabinti zake wawili
Katika shule/chuo hakosekani mwalimu msumbufu na ambaye huwafuatilia sana wanafunzi hata ktk mambo madogo madogo na kuwapa adhabu za ajabu ajabu.
Leo nataka tuwakumbuke walimu hawa pamoja na kujikumbusha vituko walivyowahi kuvifanya.
Mimi shuleni kwetu Mara Sekondari kulikuwa na mwalimu mmoja aliyeitwa Jigge. Basi siku moja kuna wanafunzi walitoroka kwenda mjini bila ruhusa. Na kibaya zaidi, walipokuwa huko mjini wakafanya fujo na kuharibu mali za wananchi.
Taarifa zao zikafika shuleni. Ilikuwa jioni na kiza kilikuwa kimeanza kukolea. Mwalimu Jigge akapiga kengere. Wanafunzi wote tuliokuwepo shuleni tukakusanyika bwaloni na akaanza kuchuka roll call.
Ili kumkomesha mwalimu huyu, pamoja na kuwanusuru wale wanafunzi 'wahalifu' waliokuwa wamefanya tukio mjini, wanafunzi wakapanga kuzima umeme main switch na kumpopoa kwa mawe. Ghafla tu, umeme ulipozimika, mwalimu alichomoka kama mshale na kutokomea kizani. Wanafunzi walimtupia mawe lakini, kwa ile speed aliyochomoka, hakuna jiwe lililompata. Ana bahati sana.
Alikua hakujui jina lakini anakusonta kukunyoshea kidole chake kile kilichopinda kama antena ya analogy tvNamkumbuka sana huyo jina lake aliitwa Pastory Mikomangwa aka mikoma-G, alikua msukuma na mabinti zake walikua weupe pee. Alikua akikutana nawe kule mjini au baruti anakukariri sura na akija shule kesho yake lazima akukamate paredi.
"musoma shule ya sekondari, ufundi Tanzania ..." wimbo wa shule nimeukumbuka mwanzo wake
Mkuu medukenya ulimkuta wapi weweMedukenya na Chief-Ilboru, Zanta-Minaki
Man Shida na Kihongosi ni balaaPrimary- Mwalimu Walisimba, mnoko huyu balaa
O-level- Kilawa B., huyu ni aibu
A-level- Mama Kitembe, Man Shida na Kihongosi, hawa dunia ilikua salama bila uwepo wao,
Chuo- Maseminar leader karibu wote wakiongozwa na Sabato Nyamsenda, Prof. Nyirabu alibana nusu nicarry.
huyo mwl. alikuwa anafundisha shule ganMbwanji -Rungwe Boys noma sana na hakua mwalimu kamili
Mbwanji -Rungwe Boys noma sana na hakua mwalimu kamili