Tupia jina lako la utani na sababu ya kuitwa jina hilo

Hii avatar itasababisha pm zetu zisijibiwe kwa muda muafaka

Et Depal uliwaza nini hadi ukaona hii ndio inafaa eti lakini?
 
itakua ushamkonyeza maana nae kagoma kusema
Hahaaa ila nmekumbuka kipindi cha nyuma baba yangu alikua anapenda sana kuniita mkungumuya, half too bad hata sikuwahigi kumuuliza maana yake ni nini so hata sikujua lina maana gani.
 
ngoja nimwambie KENZY angalie maana yake kwenye kamusi
 
Back
Top Bottom