Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Juma alitaka kuoa akaona si mbaya aende kwa wajomba zake wamchangie hela ili apate jiko. Maana korona hii imetoa funzo kwa wale wala kwa mama ntilie.
Sasa Juma ana wajomba 3 na akawapitia wote. Wajomba zake wote kila mmoja alimuahidi atamuongezea kiasi cha fedha kama kile atakachokipata yeye. Kwa mfano akienda kwa mjomba ake na elfu 20 basi ataongezewa kiasai kama hicho.
Juma akaenda kuchakarika akapata kiasi cha pesa akaenda kwa wajomba zake kama walivyomuahidi.
Ili kwa kila mjomba ake mmoja kuna mlinzi geteni ili uingie ndanni inabidi ulipe shilingi 2000 na wakati wa kutoka pia inabidi ulipe tena sh 2000.
Kwa mjomba 1
Kalipa 2000 getini kaingia ndani, mjomba ake akamuongeza kiasi kama alichoingia nacho ndani. Akatoka na kulipa 2000 getini ya kutokea
Mjomba w 2

Kwa mjomba 3
Kalipa 2000 getini kaingia ndani, mjomba ake akamuongeza kiasi kama alichoingia nacho ndani. Akatoka na kulipa 2000 getini ya kutokea.
Juma hakubakiwa hata na shilingi baada ya kutoka kwa mjomba wake wa 3. Je Juma alitoka na shilingi ngapi nyumbani?
 
Nadhani alikua na 2,000 Ila alifanya deal na mlinzi wa kwanza ambapo alimuomba asilipe ile 2,000 ya kuingilia mpaka atakapotoka kwa mjomba wake wa 3. Juma Alikua mwaminifu akarudi kumlipa mlinzi wa mjomba wa kwanza ile ya kuingilia
 
Hivi yupi ni Mungu wa kweli kati ya Allah na God maana wanamafundisho tofauti kabisa........
 
Nadhani alikua na 2,000 Ila alifanya deal na mlinzi wa kwanza ambapo alimuomba asilipe ile 2,000 ya kuingilia mpaka atakapotoka kwa mjomba wake wa 3. Juma Alikua mwaminifu akarudi kumlipa mlinzi wa mjomba wa kwanza ile ya kuingilia
Juma aliwalipa wote kila mda wa kuingia na toka. Chemsha mbongo hiyo vizuri
 
Analia coz Anakutana na dunia iliyojaa shida, wakati waliopo wanamcheka kwa kuwa amekuja ila siku ya kuondoka wale waliomcheka watalia, halafu yeye nae atawacheka kwa kuwa anawaacha na shidazao

Kw hiyo mtoto akiwa tumboni huwa halii si ndiyo mkuu?
 
Juma alitaka kuoa akaona si mbaya aende kwa wajomba zake wamchangie hela ili apate jiko. Maana korona hii imetoa funzo kwa wale wala kwa mama ntilie.
Sasa Juma ana wajomba 3 na akawapitia wote. Wajomba zake wote kila mmoja alimuahidi atamuongezea kiasi cha fedha kama kile atakachokipata yeye. Kwa mfano akienda kwa mjomba ake na elfu 20 basi ataongezewa kiasai kama hicho.
Juma akaenda kuchakarika akapata kiasi cha pesa akaenda kwa wajomba zake kama walivyomuahidi.
Ili kwa kila mjomba ake mmoja kuna mlinzi geteni ili uingie ndanni inabidi ulipe shilingi 2000 na wakati wa kutoka pia inabidi ulipe tena sh 2000.
Kwa mjomba 1
Kalipa 2000 getini kaingia ndani, mjomba ake akamuongeza kiasi kama alichoingia nacho ndani. Akatoka na kulipa 2000 getini ya kutokea
Mjomba w 2
Kalipa 2000 getini kaingia ndani, mjomba ake akamuongeza kiasi kama alichoingia nacho ndani. Akatoka na kulipa 2000 getini ya kutokea
Kwa mjomba 3
Kalipa 2000 getini kaingia ndani, mjomba ake akamuongeza kiasi kama alichoingia nacho ndani. Akatoka na kulipa 2000 getini ya kutokea.
Juma hakubakiwa hata na shilingi baada ya kutoka kwa mjomba wake wa 3. Je Juma alitoka na shilingi ngapi nyumbani?
Wataalam wa namba vipi mbona mnatuanguaha. Wazee wa Schrondinger, fourier series, time travel, plasma mupo wapi
Cc Baba Swalehe, Kiranga, Da'Vinci, jane Lowasa
 
.
JamiiForums-1819169700.jpg
 
Back
Top Bottom