MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nizijuazo.....
1. Usiku ukirejea atakutafutia Kosa la Makusudi ili Mgombane na apate sababu ya Kukunyima Nyuchi yake.
2. Usiku atajifanya Kuumwa ghafla na hata Kulazimisha muende Hospitali ya Karibu ila Asubuhi atakupa Mrejesho kuwa anajisikia vizuri.
3. Ukiwa nae Unakula Sebuleni au Mnaangalia Runinga atampanga Shoga yake ajifanye anampigia Simu na kuna Jambo Muhimu na Kesho anatakiwa akamuone na hapo hapo atajifanya anakujali kwa Kukutajataja katika Mazungumzo yao ili akuteke Akili na uone anakujali na Kukuheshimu.
4. Mkienda Kulala kwa Makusudi utaona anatafuta Pedi na anavaa mbele yako huku akikudanganya kuwa anaona kama vile Tarehe zake zimebadilika hivyo anachukua Tahadhari mapema.
Niseme tu kwamba katika Kiumbe ambaye ni Mjanja na ana Akili na Mbinu Kubwa ya Kukuchenga Mwanaume ili akakusaliti ni Mwanamke na Wanaume hatuna uwezo wa Kuwadhibiti katika hili hivyo yatupasa tuwe Wapole na tukubaliane na Matokeo.
Akiwa ndani wako na nje wa Wote!!!!!