Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wewe jamaa ni mtaalamu sana na upo sahihi kwa unachoongea..Ni hatari lakini salama!
Akina mama wengi wanaonekana wagumba lakini si kweli kwa sababu wanashindwa au wanaona haya kuelezea ukweli wa maumbile yao!
Aidha hii dhana iliyojengeka kuwa hedhi ni uchafu inapaswa kuondolewa kabisa.