Tupia moja ya Mbinu wanayoitumia hasa Wake / Mademu za Watu wakijua Kesho wanaenda 'Kukusaliti' na Mwanaume Mwenzako....

Ha ha ha ha ha kaka mkubwa umetisha
 
Uchi _ umoja
Nyuchi _ wingi
 
Na unamla kwenye hedhi pia?? Kuliwa akiwa mjamzito ni kawaida mno.
Jaribu kuelewa kuwa dunia leo imebadilika sana.

Hapo anaanisha kuwa yeye anapitiliza hata kwa mwenye hedhi na kikubwa anamtafunia mlango wa kutokea.

Jamaa kajaliwa vibe za kishetani nakwambia
 
Mimi siku hizi wala siwazi maana imeshaandikwa kwamba siku za mwisho MAASI YATAONGEZEKA

Sasa siwezi kukinga maji kwa shuka. Waache waliwe maana hata funza nao wanatusubiri kututafuna huko chini
 
Kuna watu wanaovulate huku yai lingine limetoka kuharibika. Wale wana cicle ndogo, unakuta siku 21 ndo mzunguko wake.
Nisiwe mbishi acha nitembelee Google
 
Reactions: Tsh
Ukoa kahaba wote mnaridhishwa bila shida wala haitaji kuonyesha dalili
 
Nisiwe mbishi acha nitembelee Google

Ovulation and menstruation at the same time: is this possible?​

By Iván Ferrer Durbà B.Sc. (biologist & science teacher), Jessica García Cataño M.D., M.Sc. (gynecologist) and Marta Barranquero Gómez B.Sc., M.Sc. (embryologist).

Last Update: 28/04/2020
71
Normally, a woman's menstrual cycle lasts about 28 days. Ovulation usually occurs towards the middle of this cycle, that is, about 14 days after the beginning of menstruation.
However, this is not always the case. For example, in a short menstrual cycle (less than 25 days) the time of ovulation and menstruation can be very close together and lead to confusion.
It is also possible to confuse metrorrhagia with a regular period. An intermenstrual bleeding occurs when blood spots appear between one period and the next. Thus, there is a possibility that this accelerated onset of the period coincides with the time of ovulation.
If a woman thinks she is in her menstrual phase, i.e. on less fertile days, when she is actually at the time of ovulation, the chances of pregnancy increase.
The different sections of this article have been assembled into the following table of contents.
 
Kindergarten tricks...
 
pole sana, kwa upande wangu nimejaribu kufikiri kwa undani sijawahi kuletewa kisanga cha aina hiyo.
siuku ukifanyiwa, kwa sbabu unadhani mkeo ni bikira maria mtakatifu sana, uwe makini usije ukaua au ukajiua. maana wengi wanaofanya vituko na hata mauaji ni watu wenye mtazamo feki kama ulionao
 
siuku ukifanyiwa, kwa sbabu unadhani mkeo ni bikira maria mtakatifu sana, uwe makini usije ukaua au ukajiua. maana wengi wanaofanya vituko na hata mauaji ni watu wenye mtazamo feki kama ulionao
mtazamo ulionao ni tofauti na wangu.
 
Duuh..hatareee.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…