Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili timamu wewe?... kuna siku moja nilikuwa nasafiri kwenda Dodoma kutokea Dar na mojawapo ya yale mabasi ambayo yakikaribia Morogoro Mjini just before Mkambarani huwa yanakaguliwa na Uhamiaji.
Sasa ndani ya basi alikuwepo abiria mmoja, mdada mmoja mrembo kweli kweli; yes, alikuwa na sifa zote za kuitwa mzuri - sura yake, shape lake, vaa yake, nywele zake, urefu wake, rangi yake - so admiring hasa wanawake wenzake ukiwasoma nyuso zao unaona wamemu-admire. Kasoro mojawapo kwake ni nyodo - mara achukue kioo ajiangalie, ajipulizie perfume, and the like.
Sasa bwana, basi lilipofika sehemu fulani hivi Dodoma (sipajui kwa jina) ila ilipo njia panda ya Kiteto - kulia na Kongwa (au Mpwapwa kama sijakosea) - kushoto, yule mrembo akasimamisha gari akashuka huku akimtaka konda amtolee mzigo wake ulioko kwenye buti; basi hiloo likaondoka zake likimwacha pahala pale.
From there to Chamwino niliposhuka stori zilizokuwa zinaendelea ni za yule dada huku wengi wakicheka! Sikuelewa kwanini! Huyooo nikaingia zangu home Chamwino.
Pazuriiiii mnoooo.
Pazuri sanaaa.
Una hekima mno ndugu yangu.Wachaga ni kabila tatu Kwa idadi ya watu tz ukitoa wasukuma na wamasai! Ulitegemea uchagani patoshe Kwa idadi hyo ya watu? Kuna maeneo huko uchagani ata sehemu ya kujenga hakuna! Ndo maana wanatoka kutafuta maeneo mengne, tanzania ni yetu sote mbona kuna watu kutoka kusuni wengi wamenunua maeneo uchagan , na wabafurahia mbege tu kma wenyeji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au ilula na kilolo.Nasubiri ya Ruaha Mbuyuni!!
Duuuh hatareeeeh.
Hacheni Nepotism, hamna jipya tena mumebakiza misifa kama wahaya takataka kabisa.Sikuanzisha uzi huu Kwa nia hiyo mkuu , mbona tukiposti sehemu wanazopika pombe chafu uchagani hausemi hvyo mkuu. Kosa langu mimi ni kupenda mazingira au? Nimekuruhusu nitukane Tusi lolote mkuu roho yako iridhike.
Mmebarikiwa huko kanda ya kaskazini.Yah panavutia sna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usilete bhanaa. Tutaaibika sie.Nakuletea
Shukrani..Yah lipo kibosho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au ilula na kilolo.
Nyie kusini je?Mmebarikiwa huko kanda ya kaskazini.