Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Attachments

  • Screenshot_20220723-144352~2.png
    Screenshot_20220723-144352~2.png
    100.8 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220723-144439~2.png
    Screenshot_20220723-144439~2.png
    163.5 KB · Views: 13
... kuna siku moja nilikuwa nasafiri kwenda Dodoma kutokea Dar na mojawapo ya yale mabasi ambayo yakikaribia Morogoro Mjini just before Mkambarani huwa yanakaguliwa na Uhamiaji.

Sasa ndani ya basi alikuwepo abiria mmoja, mdada mmoja mrembo kweli kweli; yes, alikuwa na sifa zote za kuitwa mzuri - sura yake, shape lake, vaa yake, nywele zake, urefu wake, rangi yake - so admiring hasa wanawake wenzake ukiwasoma nyuso zao unaona wamemu-admire. Kasoro mojawapo kwake ni nyodo - mara achukue kioo ajiangalie, ajipulizie perfume, and the like.

Sasa bwana, basi lilipofika sehemu fulani hivi Dodoma (sipajui kwa jina) ila ilipo njia panda ya Kiteto - kulia na Kongwa (au Mpwapwa kama sijakosea) - kushoto, yule mrembo akasimamisha gari akashuka huku akimtaka konda amtolee mzigo wake ulioko kwenye buti; basi hiloo likaondoka zake likimwacha pahala pale.

From there to Chamwino niliposhuka stori zilizokuwa zinaendelea ni za yule dada huku wengi wakicheka! Sikuelewa kwanini! Huyooo nikaingia zangu home Chamwino.
Una akili timamu wewe?
 
Wachaga ni kabila tatu Kwa idadi ya watu tz ukitoa wasukuma na wamasai! Ulitegemea uchagani patoshe Kwa idadi hyo ya watu? Kuna maeneo huko uchagani ata sehemu ya kujenga hakuna! Ndo maana wanatoka kutafuta maeneo mengne, tanzania ni yetu sote mbona kuna watu kutoka kusuni wengi wamenunua maeneo uchagan , na wabafurahia mbege tu kma wenyeji?
Una hekima mno ndugu yangu.
 
Sikuanzisha uzi huu Kwa nia hiyo mkuu , mbona tukiposti sehemu wanazopika pombe chafu uchagani hausemi hvyo mkuu. Kosa langu mimi ni kupenda mazingira au? Nimekuruhusu nitukane Tusi lolote mkuu roho yako iridhike.
Hacheni Nepotism, hamna jipya tena mumebakiza misifa kama wahaya takataka kabisa.
 
Back
Top Bottom