Mimi from sasa hivi nikiona mtu ananiletea mazinguo weka ignore list kwanini upigizane nae kelele?Mimi nikutongeze wewe?! Una kipi?! Una maajabu yapi?!! Halafu unajisahulisha?! Si umesema mi dume?! Hebu PANCHA kwanza halafu uje na hiyo pic sawa?!!
Huna picha yangu yoyote zaidi utakuwa umeibeba selfika ngadu wewe?! Unafikiri me ni cheap beaches mliozoea kupandana hovyo hovyo
Unajieleza weee hapo haujamvulia chupi bado πHuyo kashavurugwa hajui anasimamia kipi?!! Halafu nimtongoze wa nini?! Kwanza leo ndio namuona hapa hata id yake hii ya PANCHA sijawahi kuiona jf. Hebu aje na id yake nyingine tuliyowahi kukwaana ili twende sawa
Huku matahira ni wengi, dawa ni kwenda nao kitahiraHuyo kashavurugwa hajui anasimamia kipi?!! Halafu nimtongoze wa nini?! Kwanza leo ndio namuona hapa hata id yake hii ya PANCHA sijawahi kuiona jf. Hebu aje na id yake nyingine tuliyowahi kukwaana ili twende sawa
Kulwa JoanahNdugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua.
Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini.
Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo atakaye shinda.
Twende kaziβ¦..
ππππππ
Kwani mboni umechukia hivyo au Ni ukweli?Tena hili kubwa jinga sio tahira tu!!
Mwanaume unajiitaje PANCHA?!!!
Mamilooo kulikoni! Nani kakushika pabaya?[emoji30][emoji2089]Tena hili kubwa jinga sio tahira tu!!
Mwanaume unajiitaje PANCHA?!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wizo kalale utakuja kubutuliwa komwe huoni makombora hayo?
Oui but no komprenyon.Oui soeur
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi wa moto kama uji wenye ndimu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nmeona hapa watu wanawashiana moto Nkaona nkutag tulianzishe pachafukwe hapa mbaya haujamaindkivipi tena
wala hataNmeona hapa watu wanawashiana moto Nkaona nkutag tulianzishe pachafukwe hapa mbaya haujamaind
Dah sema watu wanaweza kuparuanawala hata
Wapo wachache smart ila beautiful ndo hamnaπHumu hakuna Mwanamke smart full stop, wote ni pigo za Lamomy wamefyatuka
Humu we jidanganye wamefyatuka wengi sana, wengine unaweza useme labda huyu weee usiombee umjue vizuri fyatufyatu tuWapo wachache smart ila beautiful ndo hamnaπ
π€π€ππView attachment 2843499
πππ