Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Mimi nikutongeze wewe?! Una kipi?! Una maajabu yapi?!! Halafu unajisahulisha?! Si umesema mi dume?! Hebu PANCHA kwanza halafu uje na hiyo pic sawa?!!
Huna picha yangu yoyote zaidi utakuwa umeibeba selfika ngadu wewe?! Unafikiri me ni cheap beaches mliozoea kupandana hovyo hovyo
Mimi from sasa hivi nikiona mtu ananiletea mazinguo weka ignore list kwanini upigizane nae kelele?
 
Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua.

Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini.

Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo atakaye shinda.

Twende kazi…..
👇👇👇👇👇👇
Kulwa Joanah
 
Back
Top Bottom